LIVE ON STAR TV: Mpango wa Utoaji wa anuani za makazi na simbo za Posta Nchini

Vitambulisho vya Anuani vitakuwa kama zamani yaani chuma na bati? sikuhizi vimeng'olewa (Chuma Chakavu)Vyote na havipo tena... Kujua huu ni Mtaa gani haipo tena kwa sehemu Nyingi... Nakumbuka Mtaani kwetu Ismani Street Upanga Dsm Kiling'olewa miaka ya 1980s na Wanajeshi wakaufunga Mtaa Baadae ili kuwatesa Raia wa Mtaa kupitia Diamond Jubilee...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom