Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, nimeamin kwel watz wana mahaba na mheshimiwa mkuu wa mkoa wa dar es salam makonda, ila sema tu wanaogopana cjui kwann me nahic wengi ni fuata upepo na wegne wanawaogopa wale jamaa wa ufipa maana wale nae kwa kujifanya wanajua kila kitu hawajambo, walim wao, wajuzi wao wasomi wao watukufu wao piaa hawakoseag na wanaweza kumsafisha mtu waliokuwa wakimshutum mifano iko waz kwanza lowasa wamisema fisadi wee tena wakizunguka Tanzania nzima kwenye majukwa ya siasa lakn alivyohamia kwao kageuka msafi, wakaja kwa nape mara alizuia bunge live alivyotumbuliwa wakaanza kumuita shujaa! Asa iv wanamnyatia yaan ni shida tupu, asa iv wanamuona mheshimiwa makonda hafai kisa alimtaja taita wao kwa list ya wauza ngada na visingizio kibao mara kavamia cloud na mazengwe kibao eti nae wamesusa kuandika habar zake cha kushangaza hawaachi kumtaja ata kwa koment zao sasa wamisikia ataongea star tv wamianzaa tena shobo asa iv wanasubiria kwa hamu wawashe tv zao. Kama haumpendi mtu c unachuna tu kelele za nn angalien mcje mkawa kama wale jamaa zetu wa upande wa pili walisusa cie tukalaa asa iv wamibumbwa mbaya na nyie angalin mcje mkaanza kulaumiana kama wenzen
Nawasilisha
 
Wasaliti hawatakaa waishe duniani milele. Aibu kubwa ni pale unapojigundua kumbe hata wewe ni Yuda Iskariote, msaliti wa wenzako

Kwamba yakikupata ya kukupata unajikuta huna pa kupumulia maana wenzako wameshakukimbia na haupo nao tena.
 
Sawa si wengine tunatafuta Riziki mtatuadisia mambo ya huyo bwana form 4 failure
 
Back
Top Bottom