Live on Mlimani TV: Zitto Kabwe Vs Hamis Kigwangalla - Pushing forward the youth/Housing agenda!

Inabidi hivi vyombo vya habari kuwekea mkazo zaidi vipindi kama hivi na kutoa nafasi zaidi kwenu kuweza kuzungumza na kukusanya mawazo mbali mbali..
Vyombo gani unavyovipa wewe ushuri! ni hawa kina TBC? Wenzako la maana ni kupiga Mirindimo ya pwani na Rusha zote kwa masaa 3 mfululizo, lakini mada za maana ni dakika 30 au 45 na ikizidi ni 1 hour.
 
Kwa speed hii ya wana ccm humu JF,sijui mwisho wake nini! Idadi ya viongozi wa ccm humu inaelekea kukaribia kuwafunika wa Cdm waliojizolea sifa kibao humu!
 
Kwa speed hii ya wana ccm humu JF,sijui mwisho wake nini! Idadi ya viongozi wa ccm humu inaelekea kukaribia kuwafunika wa Cdm waliojizolea sifa kibao humu!
Ukisikia mawazo ushuzi ndio haya, haya ni mawazo kutoka kwa mtu mfu ingali yu hai. yeye kwake hakuna Taifa bali ni Chadema na CCM!! Pumbavu kabisa.
 
Ukisikia mawazo ushuzi ndio haya, haya ni mawazo kutoka kwa mtu mfu ingali yu hai. yeye kwake hakuna Taifa bali ni Chadema na CCM!! Pumbavu kabisa.
Duh kaka najua umefikiria nini! Changamoto tu kiongozi! Najua ujumbe utafika namna gani.dah umepiga viroba vingapi?
 
Kwa speed hii ya wana ccm humu JF,sijui mwisho wake nini! Idadi ya viongozi wa ccm humu inaelekea kukaribia kuwafunika wa Cdm waliojizolea sifa kibao humu!

kaka unafikiri kujazana tu humu bila kujibu hoja kuna maana, ikiwa mdahalo tu walikimbia wataweza humu?. ikiwa humu kuna great thinkers watatokea wapi , watakuwa wanatoa tu taarifa kama hizi kwenye maswali kimya. kwa ma great thinkers kama sisi tumeshaujua mwisho wao
 
naomba tiba kaka, inawezekana

Tiba yako watakupa wapiga kura wao pekee ndio wenye uwezo kutibu maradhi yako; hebu tueleze jimbo lako limejejenga vipi kiuchumi baada ya wewe kuwa mbunge? Ajira kwa vijana imesimama vipi ; walio wengi tunaona Igunga kuna umasikini uliokithiri kwa ujumla Tanzania iandimimia kwenye lindi la umasikini huku tukiwa na rasimali nyingi tu; kwa ujumla Tanzania hatuihitaji hata kuwa na bunge ni ****** mtupu!!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Igunga mbunge Dr Dalai Kafumu.
Nzega Mbunge Dr Hamisi Kingwangalla
Huku ugonjwa wa kupenda Waarabu naona umeanza kuwatoka sasa wanapenda Madoctor!!
 
Nakushauri nenda kwenye jimbo lako ukatekeze Yale uliyo ahidi wewe naona unazunguka hapa dar na hizo hoja ulizo pora CDM kutafuta umaarufu. Ndio maana hubanduki jf ili uteke vijana kwa hoja zako za ajira. Kila mara kwenye tv na radio ambazo hazisikiki jimboni kwako unakera sana bado miaka 2.5 uachie ngazi
 
Kuna wakati nilisikia unatayarisha maandamano kwa ajili ya kudai mapto zaidi kutoka wawekezaji wa migodi katika jimbo laoko la Nzega, ukapigwa bit na CCM na hata bungeni Mhe Stella Manyanya alikukari[ia kuwa maandamano0 sio sera ya CCM. Je umefika wapi na madai hayo aau baada ya kupigwa biti ndio umekuja na hizi porojo?

Kama haujafanikisha lile uliloanza nalo tutakuamini vipi kama wewe ni mtu wa vitendo na sio kujitafutia umaarufu tu kupitia matatizo ya ajira za vijana?
 
Nakushauri nenda kwenye jimbo lako ukatekeze Yale uliyo ahidi wewe naona unazunguka hapa dar na hizo hoja ulizo pora CDM kutafuta umaarufu. Ndio maana hubanduki jf ili uteke vijana kwa hoja zako za ajira. Kila mara kwenye tv na radio ambazo hazisikiki jimboni kwako unakera sana bado miaka 2.5 uachie ngazi

Dr. Kigwangalla ameingia bungeni kwa upendeleo maalum kipo kikundi cha wahusika anachokitumikia na si wananchi wa Nzega, kumbuka hakushinda kura za maoni na wala hakuwa wa pili zilitumika nguvu kumueka hapo alipo hivi sasa anaowatumikia wapo Dar mwache amalize radio kumwaga pumba zake si mtu huru bungeni yupo yupo tu; nawazimia wabunge kama Steven Ngonyani pamoja na kwamba hakusoma ameipigania nafasi yake hata kesho akishindwa kuleta maendeleo jimboni mwake wananchi hawatakuwa na kumlaumu lakini huyu Kigwangalla ni pandikizi tu Nzega wanaye wa kumlaumu.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Jana usiku mh. Kabwe Zitto na mwenzake mh. Kigwangwala wakati wanafanya mahojiano na mliman Tv kwenye kipindi cha keki ya Taifa, walitoa wito kwa wabunge vijana kuachana na siasa za malumbano na zomea zomea! Ki ujumla waliwataka wenzeo kuungana kama wao walivyo amua kuandaa hoja zenye suluhisho ya matatizo ya wananchi hasa kuongeza ajira kwa vijana na kuondoa umasikini.

Zaidi, zito akaenda mbali kuwa wanasiasa wazee wana enjoy siasa za malumbano kwani wameshamaliza muda wao, hivyo walio vijana wasiwaige badala yake wajenge hoja za msingi zenye suluhisho ya matatizo si kila siku kulalamika! Ki ujumla niliyapenda mazungumzo yao kwani yanaonyesha lengo la dhati kuondoa tatizo la ajira na umasikin kwa ujumla.

Mfano, Zito anasema kuwa, baada ya hoja yake ya mkonge kukosa support stahiki bungeni, ataipeleka kwa wananchi baada ya hapo atashughulika na sukari, na korosho huku Kigwangwala akisema atahangaika zaidi kuona kuna link kati ya viwanda na kilimo! Ni ungane nao kuomba wanasiasa wengine kuwa na mawazo mbadala wa matatizo yetu.

Msiishie kulaum na kukosoa serikali tu bila kuonyesha nini kifanyike! Tukiwa na nia ya dhati, hakika tutafika!
 
Huyu jamaa kichwa sana . I wish angekuwa mbunge wangu Arusha mjini.
 
Hongera Dr Kigwangala kwa kuona mbali zaidi kuwa Taifa ni bora kuliko chama.Frankly speaking, wewe kama kjana mwenzetu umeonesha nia na uwezo wa kuipigania na kuitetea Tanzania tuitakayo but una angushwa na chama chako ambacho kwayo maslahi ya Taifa si kipaumbele isipokuwa matumbo yao huku nchi ikiendelea kupoteza dira. Ni ukweli kuwa huwezi sukuma gari mbovu huku ukiwa umepanda .Vilevile hata Biblia kwa Wakristo inasema "bora kuwa moto au baridi na si vuguvugu" Tafakari chukua hatua bro.Stay blessed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom