Live mtaani kwetu

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Ilikuwa ni mida ya saa tisa mchana,kijana wa kiarabu Razaq anaeish na mkewe kwenye nyumba ya familia yao,kilele zinasikika dada zake na Razaq wanamzomea Razaq huku wakimmiminia maneno machafu.
Kumbe Razaq alikuwa na uhusiano na dada mpangaji ambae ni mfanykz wa TTCL Ambae anasifika kwa kutoa tigo hapa mtaani,dada huyu ameolewa mara tatu na kuachika anaumbo zuri kiasi kila mwanaume huvutiwa pia hutoa huduma hiyo ya ziada.
Razaq alifumaniwa kwenye chumba cha huyo dada wakati alipoaga kwa mkewe anakwenda mazoezini na kuingia ndani kwa huyo dada bila kuonekana.
Wapangaji wanadaiana mchango wa umeme ndipo mke wa Razaq anagonga kwa lidada hilo na kuona kimnya huku mlango ukiwa umerudishiwa anafungua na kukuta mumewa akiwa kwenye kilele cha kuushuka mlima huo.
Du jamaa baada ya tukio hilo amekimbia huku yule dada akijitapa: "kama umeshindwa kumpa na anataka kwanini nisimpe?".
Kweli mapenzi upofu hadi leo asubuh Razaq hajarud mkewe na dada zake wanamtafuta.
Huku kukiwa na tetesi jana lidada hilo halikulala nyumbali walionwa wakiwa pamoja tabata rufita night club.
Du mtaani kwetu nouma.
 
Nimeipnda sana hii. yaani This is what was meant for JF CHIT CHAT.

Aisee imetulia sana katika jukwaa husika.
 
Laana kum. Shabash. Kumbafu. Shaitwani. Matusi yote ni ya kwao. Shame on them.
 
hii ni km sisi tuliopo huku bara ukiomba tu hiyo kitu mtaa mzima watajua jamaa anapenda ndogo NOOOUUUMMMA
 
Aisee! Watu mishipa ya adabu ilishakatika kabisa kiasi kwamba haramu kwao ni halali! Lord have mercy!
 
sasa walimzomea na wakamtukana wanamtafutia nini? wamuache na mpenzi wake anae mpa kila kitu anacho taka. kama kweli wangekua wanampenda haikua lazima kumdhalilisha hadi imma.one ajue habari yake na ailete JF. hivi mbona familia zingine zinapenda kuhanika aibu yao hadharani? wakome sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom