LIVE:MSHINGA nitajibu swali lolote linalonihusu katika mapenzi na mambo mengine kwa muda wa 30mins:

Kwan we ninani?

mshinga ndio jina nalotumia kila mahali, shuleni mpaka nyumbani na kila mahali. ila hilo ni jina la baba jina langu la mwanzo nisingependa niliweke hapa, manawengi wanatumia fake IDs, kwa hiyo hilo jina moja linatosha mana ndo jina la ukoo
 
Uliwahi kukimbiwa na mwanamke kisha hujiwezi kunako 6 kwa 6

si kitu chepesi kuambiwa japo nakumbuka mpenzi wangu kuna siku moja aliniambia kuwa nilikuwa sielewi sawasawa kufanya kissing, but was just a warm and simple one, nami nikamwambia kwa kuwa nifanyavyo ndio nilifikiri ni sahihi kumbe sivyo nikamuomba yeye anielekeze. umeridhika
 
soma swali vizuri mkuu, nmesema kukimbiwa (left)
 
haaa haaa haaaa ngoja nkae kwenye uzi huu huu, maana utakuwa na maswali yasiyojibika.....lol

siwezi kushindwakujibu na siwezi kukimbia, japo sikutegemea maswali ya ajabuajabu, lakini nayo nitayaujibu ulingana na akili ya wanaouliza
 
soma swali vizuri mkuu, nmesema kukimbiwa (left)

nilielewa swali na jibu ambalo ni short and clear ni kwamba sijawahi kuambiwa, lakini nilitaka tu kukuonyesha kuwa pamoja na kuwa sikuwahi kuambiwa lakini nimepata kukosolewa pia na nikaonyesha nilichokosolewa
 
ndio hivo unapoweka thread hapa jf ni lazima ujiandae na comment za uzushi, kejeli, matusi na kila aina ya ujinga
siwezi kushindwakujibu na
siwezi kukimbia, japo sikutegemea maswali ya ajabuajabu, lakini nayo
nitayaujibu ulingana na akili ya wanaouliza
 
hilo tatizo limeishaje? coz kulingana na maelezo yako hujaoa wewe?
hapana, hiyo ilikuwa
inanitokea zamani wakati nikiwa o level na advance, japo nayo ilikuwa
inatokea maji yanapozidi unga na ikinitokea ujue itachukua muda mrefu
zaidi na sina kumbukumbu za interval
 
hilo tatizo limeishaje? coz kulingana na maelezo yako hujaoa wewe?

kwa sasa siwezi kukaa muda mrefu kiasi kama cha zamani, mana yupo wa kuniondolea hamu, nikizidiwa namuita anakuja.
 
hata mimi nazimiss sana zile talk show, lara 1 hebu turudishie ile makitu bana

wamesikia kilio chenu ngoja waje, japo mwenyewe hapa sikuweka mada hii kuonyesha uwezo wangu ila zaidi ni kuongelea reality and facts kuhusu mimi na hivyo nilichohitaji ni kumbukumbu tu za historia na matukio yangu na si kujenga hoja ama kufurahisha zaidi
 
kwa nini usimuoe huyo anayekuondolea hamu, ili sasa uache zinaa? ukizingatia pia ni chukizo kwa muumba.
kwa sasa siwezi kukaa muda
mrefu kiasi kama cha zamani, mana yupo wa kuniondolea hamu, nikizidiwa
namuita anakuja.
 
kwa nini usimuoe huyo anayekuondolea hamu, ili sasa uache zinaa? ukizingatia pia ni chukizo kwa muumba.

Mungu akipenda nitamuoa, ila muda bado mana ndo kwanza yupo mwaka wa kwanza.
 
Umewahi kuwa na shuga mami? je kuna tofauti yoyote kati yake na girlfriend wako?
 
Umewahi kuwa na shuga mami? je kuna tofauti yoyote kati yake na girlfriend wako?

mara zote nimekuwa na wasichana ninaowazidi umri, na sijawahi kumtongoza msichana ama mwanamke anayenizidi umri kwa kumbukumbu zangu. kwa hiyo sijawahi kabisa
 
Mpaka leo unaweza kukumbuka idadi ya wasichana ilioduu nao toka uanze mchezo wa kikubwa?
 
huwezi kuwa umesikia, ila kila aogae lazima avue nguo zote nami nafanya hivyo hivyo, pia simu yangu ni ya mkononi kwa hiyo ni kweli natembea nayo

asante mkuu! one for the road:
1. mlango hufunguliwa muda gani?
 
Back
Top Bottom