LIVE:MSHINGA nitajibu swali lolote linalonihusu katika mapenzi na mambo mengine kwa muda wa 30mins:

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
kwa kuwa huwa sipati wasaha wa kuingia PM kwa muda huu nitajibu chochote kuhusu mimi kwa mwenye swali linalonihusu ama amekuwa akijiuliza swali kuhusu mimi bila majibu.
pia swali linaweza kuhusu topic ninazoanzisha kama mtu anafikiri inaweza kuwa personal kwangu
 

kani mkali

Senior Member
Dec 18, 2013
122
225
hayo mambo yamemponza r kelly kwenye twitter"ask rkelly" akajikuta watu wanauliza maswali ambayo hakutegemea na asingependelea kuulizwa....so tegemea lolote bra,na watu wa humu nnavyowajua..!
 

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,210
2,000
Mshinga leo uko free sana pia mudi yako leo nahisi imetuchukia wanawake (refer topicz zako leo ni fulu lawama). kumetokea nini? kuna usalama?
 
Last edited by a moderator:

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
Mshinga leo uko free sana pia mudi yako leo nahisi imetuchukia wanawake (refer topicz zako leo ni fulu lawama). kumetokea nini? kuna usalama?

hapana sina ugomvi wowote na wanawake ila pengine maandiko yangu yanaweza kutafsiriwa hivyo. ujue hapa jukwaani kuna mambo mengi ya kujifunza, kufurahia nk. kwa hiyo topiki zangu nyingi naanzisha kwa misingi ifuatayo,
1. kurekebisha tabia fulani isio njema sana.
2. mada za kufurahisha tu
3. mada zingine zinabeba ukweli wa moja kwa moja bila kujali zipo katika mtazamo mbaya ama mzuri ama hazijawahi kujadiliwa ama hazionekani zikijadiliwa sana.
mfano mada za leo unazoona kama nawachukieni zililenga kueleza mambo yanayotokea kati ya wapenzi kwauhalisia zaidi japo nimemtumia mwanamke upande mmoja lakini wanawake na wanaume ni wahusika wa mada zote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom