live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

Lincol

Member
Aug 16, 2013
7
2
kamanda hassan ameanza kwa kutangaza nia ya kugombea udiwan katatya kati kama atapewa ridhaa na chadema ungana nasi moja kwa moja.
Mch msigwa ndan ya nyumba

Updates.......
Naibu meya wa jiji ndio anahutubia..mh lema ndo ameingia nw

Updates...kamanda mushi anasema '' kama kuna aliekuja kwasababu ya zzk aondoke na kama kuna mtu amekuja kwasababu ya mbowe nae aondoke 2mekuja kwasababu ya chadema''
Mch.msigwa ndo kapanda anatoa salamu zake kwa wana arusha...
Msigwa anasema huwez lala na nyoka ndani hata kama nyumba yako ni ya vioo..
Anasema zito ni sawa na mama anaye zaa mtoto halafu anaua unakamata mama unaweka ndani..
Anasewa wazir mkuu alitoa shinikizo kuwa ikulu kuwa zito anachakuliwa kuongoza kamati ya kudumu...
Anauliza wangap wanaunga mkono maamuz ya kamat kuu makamanda wote mikonoo juu.

Updates: anasema 2mempa cku 14 asipojieleza vizur 2napiga chini

Kamanda lema ndan ya jukwaa ss....anaelewana na lowasa aue chadema halafu aje kuwa wazir kwenye serekali ya lowasa.

Updates...
Anapigilia misumari sana anasema mambo hayitaji kanuni yanahitaji ubabe.
 
Hujambo na karibu,Katika Mkutano wa Cha cha Upinzani nchini Tanzania,
Mada kuu inayozungumziwa hii leo, ni pamoja na yanayoendelea katika Chama hiki, na katiba Mpya.
-----------Watu ni wengi,Na Mkutano Unaendele Mjumbe wa Chadema,Anasema kuwa, Ataiwakilisha kata ya kati kama akichaguliwa pindi Uchaguzi utakapowadia,Ukiwaangalia watu walioko katika huu Mkutano.Wengi wao wana ashki ya kujua Zaidi ya kitu,
 
kamanda hassan ameanza kwa kutangaza nia ya kugombea udiwan katatya kati kama atapewa ridhaa na chadema ungana nasi moja kwa moja.
Mch msigwa ndan ya nyumba

Kumbe kelele zoooote za NOOR HASSAN zinaishia kwenye udiwani


Kweli shidaa
 
Mbona mikutano inafanyika Arusha tu?

CDM Mwanza tumefanya majuzi tu hapa mbugani bugando,huko Tarime napo kamanda Mawazo yupo anakamua,Heche yupo Mbeya na Dr wa ukweli Rais mtarajiwa Slaa atakuwa ndani ya Kahama leo hii.Hicho unachokiongelea nakiona kama wivu tu wa kike tena unaotolewa na mwanamke malaya like u.
 
tupen update tulio mbali bila kusahau ma picha ya ukweli,tafadhal makamanda msituangushe.
 
Back
Top Bottom