Live Mkama akamatwa na Bw mdogo Chanel Ten!

Anatoa masimulizi ya chama,ambayo hayana mafaa kwa chama chake wala taifa!
Kweli huyu mzee ni kilaza!!
 
Huyu sijui kama haoni umuhimu wa kufanya comparative analysis kati ya ujamaa,ubepari na mfumo mzima wa communism in the context of globalization? Hivi anautazama kweli mfumo wa China?

CCM wanafanya masikhara sana
 
aisee dogo yupo fiti sana kampa mkama kitabu cha Azimio la Arusha kamwambia mkama ampelekee JK kopi hiyo akasome duh mpaka makwaiya kampigia dogo makofi
 
Huyu sijui kama haoni umuhimu wa kufanya comparative analysis kati ya ujamaa,ubepari na mfumo mzima wa communism in the context of globalization? Hivi anautazama kweli mfumo wa China? CCM wanafanya masikhara sana
Umeo ehe! Yani fikra alizotumia mwalimu ktk nyakati za ukombozi yeye ndizo anazo wahubiri wanamageuzi wa leo?
 
Dogo awapeleka Mkama na Kikwete darasani! Awapa vitabu vya azimio la arusha! Mkama hoi anatafuta tu huruma ya watz kukiokoa chama!!
 
hebu kidogo mwageni vizuri mchele huo tudonoe,wengine umeme umekatika!.
 
Alaf kwa jnc alvyo goigoi et anapewa kop ya ktabu cha UJAMAA anapokea na kuanza kuksoma apo apo,yaani uyo dogo kampoteza mpaka raha,inshort ame PANIC
 
Huu ndo usen.ge ambao tunaukataa kila siku. Tumeshaambiwa hii sio facebook! Toa maelezo ya kujitosheleza
 
Kweli wakuu!wengine makwetu huko umeme haujarudi leo ni siku ya 3!tv ipo mapumzikoni!ni mwendo wa NOKIA ya TOCHI!mtoa mada toa kitu kilichojitosheleza.
 
Back
Top Bottom