Shivj, kingunge ndani ya mdahalo live ITV maadhimisho ya kumbukumbu ya nyerere...
Ikiwezekena anayeangalia avoluntie kutuwekea hapa quick updates za mdahalo.
sababu anapoongea Shivj huwa ni darasa mwanzo mwisho
anazidi kukwepa sijui kama ataenda na kasi ya SshvjiPro Shvji anendelea kumbana Kingungea aelezee ni kwa namna gani mwalimu alikuwa anapambana na zana ya unyonyaji kwa kupitia tabaka.Inaonekana anakwepa swali hilo ndio maana mwanzoni nimesema muwe makini kujua Pro anaposema kuwa huyu Kingunge kisayansi ndie alikuwa mwandishi wa propaganda za CCM.Kwa sasa kaweka pending swali la Pro la Tabaka
Ccm inajivunia kwa kuwa na kigagula mahirihivi kingunge licha ya kufanya kazi katika awamu zote nne ana lipi kubwa ambalo wa tz watamkumbuka kwalo?