Live: Mazishi Mhe. Salome Mbatia

M

MegaPyne

Guest
112007-10-27_121857.jpg

112007-10-27_121803.jpg

112007-10-27_121913.jpg

112007-10-27_121921.jpg

112007-10-27_121923.jpg

112007-10-27_121959.jpg

112007-10-27_122144.jpg

112007-10-27_122235.jpg

112007-10-27_122437.jpg

112007-10-27_122500.jpg

112007-10-27_122458.jpg
 
Jamani very sad!! safari ya mwisho ni machungu kweli ukifikiria...eeeh mola watie nguvu ndugu na jamaa wote wafiwa...Amen
 
Asante sana CMB kwa taarifa hii Mungu ni mwema awape rehema wana ndugu .Niko Buguruni kwa sasa
 
Asante sana CMB kwa taarifa hii Mungu ni mwema awape rehema wana ndugu .Niko Buguruni kwa sasa

Madamu upo Buguruni ebu tujuze maoni ya wananchi hususan msiba huu mkubwa? nimesikia dereva alizikwa mburahati jana, Mungu amrehemu, sijui nikichukulia apo Buguruni ni kijiweni na pana watu wengi, unaweza kudodosa kidogo hali halisi ya mambo?
 
1120071027142011ol9.jpg
 
Attachments

  • 11 2007-10-27_142011.jpg
    11 2007-10-27_142011.jpg
    59.4 KB · Views: 145
  • 11 2007-10-27_142015.jpg
    11 2007-10-27_142015.jpg
    57.8 KB · Views: 132
  • 11 2007-10-27_142004.jpg
    11 2007-10-27_142004.jpg
    59.5 KB · Views: 136

Mungu amlaze mahali pema.

Alikufa kama Naibu waziri(Serikali) tazama walivyomzunguka na kumzika kikada(kichama).

Hivi hakuna itifaki mahususi kwa viongozi wa serikali?

Au nio wosia wake? Najua alichaacha kuwa mweka hazina wa CCM.

Asha
 
Hivi hakuna itifaki mahususi kwa viongozi wa serikali?

Au nio wosia wake? Najua alichaacha kuwa mweka hazina wa CCM.

Asha

Nadhani lakini sina uhakika, viongozi wakuu wa kiserikali wanazikwa kwa itifaki tofauti kidogo!!!

By the way naibu waziri haingii kwenye mkutano wa baraza la mawaziri!!!
 
JK naye hakuwa nyuma kuuchapa usingizi mbele ya kadamnasi.Mazishi yalihudhuliwa na viongozi wa serikali,upinzani na viongozi wa dini.Picha kwa hisani ya bwana Michuzi Blog.
View attachment 753
 
MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI MAMA SALOME MBATIA.

Hivi hawa vijana wa CCM walioteka nyara msiba ni kwanini lakini?

Ona wameingia mpaka ndani ya kaburi la Mama wa Watu. What is that?!

Mila za Kichaga Marehemu huzikwa na vijana ndugu na jirani zake.
Sasa Mama Mbatia alikuwa na ndugu na majirani makada wa CCM wengi kiasi hicho?

CCM wacheni kuteka nyara shughuli za watu kwa kujitafutia umaarufu.

Viongozi wa CCM wako wapi kulikemea hili.

Halafu Pemba kukiwa na misiba ya CUF na CCM mnashangaa.
 
JK naye hakuwa nyuma kuuchapa usingizi mbele ya kadamnasi.Mazishi yalihudhuliwa na viongozi wa serikali,upinzani na viongozi wa dini.Picha kwa hisani ya bwana Michuzi Blog.
View attachment 753

sijui kama anaweza kuuchapa kweli hapo ilikua huzuni imemshika hapo sio sehemu ya kuuchapa kabisa
 
sijui kama anaweza kuuchapa kweli hapo ilikua huzuni imemshika hapo sio sehemu ya kuuchapa kabisa

Ni kweli ulivyosema, ukiangalia mkono wake wa kushoto unaonekana kuwa alikuwa na movement fulani. Kama mimi ningekuwa mpigapicha nisingekuwa nimeiweka kwenye circulation.
 
Ni kweli ulivyosema, ukiangalia mkono wake wa kushoto unaonekana kuwa alikuwa na movement fulani. Kama mimi ningekuwa mpigapicha nisingekuwa nimeiweka kwenye circulation.

Ninakubaliana na maoni yako. Hii haistahili kuwepo hasa katika hadhara kama hii. Rais wa nchi bado tunamheshimu bila kujali madudu mengineyo.
 
JK naye hakuwa nyuma kuuchapa usingizi mbele ya kadamnasi.Mazishi yalihudhuliwa na viongozi wa serikali,upinzani na viongozi wa dini.Picha kwa hisani ya bwana Michuzi Blog.
View attachment 753

Picha inasema mengi kuliko yale tuwezayo kuyaeleza kwa ufasaha.

Hapa kuna unsanii.

Si kweli kwamba MH JK Kikwete amelala kwa sababu moja kuu.

Ukiangalia mkono wake wa kushoto, mkono wenye pete,unaonekana ukiwa out of Focus. Camera imeshindwa kuFocus mkono wa kushoto kama ilivyo weza Focus mkono wa kulia au mikono yote ya waheshimiwa pembeni mwa rais.

Camera kushindwa Kufocus mkono wa president kuna maana moja tu, mkono huo ulikuwa katika movement wakati picha inapigwa.

Haiwezekani mtu auchape usingingizi huku mkono wake mmoja ukiwa katika movement kiasi cha Camera kushindwa kuFocus.

Pia mguu wake wa kushoto unaonekana uko kwenye movement katika hali ya kukaa vizuri kwenye kigoda. Kwa ujumla president yuko live na katika movement na haonyeshi dalili yeyote kwamba alikuwa amelala.

Kwa hiyo maelezo kwamba President alikuwa amelala ni ya Usanii na sikubaliani nayo hata kidogo.

Mwenye utetezi mwingine aulete hapa.
 
Back
Top Bottom