Live kutoka SAUT Mwanza mkitano wa hadhara wa kamanda Mbowe!

Hizi ziara za mbowe na slaa naona zina ajenda mbili kuu. Kwanza kuutangazia umma wa watz kuwa adui wa chadema ni Zitto, sio ccm tena. Na ajenda ya pili ni kupata support ya wananchi ili kuhalalisha kinywaji haramu aina ya gongo. Hayo ndio yaliyoibuka katika ziara hizo

Kweli kabisa Sixgates. Kuna uwezekano Leo Mwenyekiti naye akahararisha kitu kingine ambacho ni haramu. Tusubiri. Yetu masikio.
 
Kulikuwa na mvua ndo imekatika, sasa kila kichochoro kinatema watu hapa uwanjani. Daladala pia zinashusha kutoka kila kona ya jiji hili.

Update kila baada ya muda mfupi!
Kuna nyimbo za kisukuma zinahamasisha sana, watu wamechangamka sana!

Updates: Sasa viongozi mbali mbali wa mkoa na madiwani wa jiji wanatoa nasaha zao.

Updates: Anaongea na mdogo wake Heche anaitwa Enock anasema akitoka Zitto wataingia makamanda 1000.

Amepanda kijana anaitwa Khalid anasema Ccm waache kuwafundisha waislamu kuitumia Qouran maana haikuwa na tofauti na azimio la Arusha, maana inasisitiza kuwajali wanyonge
Mpo 15 kingine Kipya alichosema Mwenyekiti?
 
Hizi ziara za mbowe na slaa naona zina ajenda mbili kuu. Kwanza kuutangazia umma wa watz kuwa adui wa chadema ni Zitto, sio ccm tena. Na ajenda ya pili ni kupata support ya wananchi ili kuhalalisha kinywaji haramu aina ya gongo. Hayo ndio yaliyoibuka katika ziara hizo

Daah kweli Zitto ni mzito ufipa nzima kuanzia Mwenyekiti, Katibu mkuu na wakurugenzi wote wametawanyika kupamba na mtu mmoja
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Sixgates. Kuna uwezekano Leo Mwenyekiti naye akahararisha kitu kingine ambacho ni haramu. Tusubiri. Yetu masikio.
pole sana ndugu polisi kwa kuharibiwa dili lako kule KEKO MWANGA ,jifunze kuutumia mshahara wako vizuri .
 
Hizi ziara za mbowe na slaa naona zina ajenda mbili kuu. Kwanza kuutangazia umma wa watz kuwa adui wa chadema ni Zitto, sio ccm tena. Na ajenda ya pili ni kupata support ya wananchi ili kuhalalisha kinywaji haramu aina ya gongo. Hayo ndio yaliyoibuka katika ziara hizo
You swing like a pendulum..............juzi baada ya Werema unakumbuka uliandika kitu gani?
 
Hizi ziara za mbowe na slaa naona zina ajenda mbili kuu. Kwanza kuutangazia umma wa watz kuwa adui wa chadema ni Zitto, sio ccm tena. Na ajenda ya pili ni kupata support ya wananchi ili kuhalalisha kinywaji haramu aina ya gongo. Hayo ndio yaliyoibuka katika ziara hizo

zitto=ccm
 
mbona nayo ccm bagate inategeme vinywaji vya pombe,sigara na soda,kinana anakula maisha kwa kuua tembo wetu.
 
Nikiwa hapa uwanja wa Nyamalango SAUT, maelfu ya watu wameishawasili uwanjani wakimsubiri kamanda Mbowe, Wenje na viongozi wengine wa chama. Tayari viongozi wa mkoa wameishawasili. Msafara mrefu wa pikipiki unawasili hapa uwanjani. Wanafunzi wa vyuo mbalimbali Mwanza wakiongozwa na wakiongozwa na chuo cha SAUT wamemiminika kwa wingi hapa uwanjani. Redbrigades wamezunguka uwanja wote. Polisi ni wachache na hapa jirani yangu nawaona polisi wawili ninaowafahamu wakiwa wamebeba kamera zao ila wamevaa kiraia. Nitaendelea kuwapa updates.
 
Vipi ile sera mpya ya kuboresha biashara ya gongo ataitangaza tena leo?

Mkuu hii si sera Bali ni fursa kwa wananchi kufanya biashara bila bugudha. Si unajua kuna pombe nyingi za kienyeji Na zinatembea bila mizengwe Kama vile kibuku, wanzuki
 
Kuna mzee mmoja anaitwa Kizebhu alishawahi kuwa diwani wa CCM akajiondoa. Anasema ukiona mtu anaipenda CCM ujue yupo kwenye makundi tatu. La kwanza ni kundi la wahalifu ambamo ndani yake kuna majambazi, kundi la pili ni la Wezi na la tatu nikundi la watu wajinga ambao hawajitambui. Anasisitiza ktk hayo makundi hadhani kama wanafunzi wa SAUT wamo.
 
Vipi ile sera mpya ya kuboresha biashara ya gongo ataitangaza tena leo?

Mkuu hii si sera Bali ni fursa kwa wananchi kufanya biashara bila bugudha. Si unajua kuna pombe nyingi za kienyeji Na zinatembea bila mizengwe Kama vile kibuku, wanzuki nk

Fungueni akili Kwani whisky zilianzajw?
 
Back
Top Bottom