Live kutoka SAUT Mwanza mkitano wa hadhara wa kamanda Mbowe!

Gongo ndo uti wa mgongo wa Watanzania kwa mujibu wa kauli ya katibu mkuu wa Chadema
 
Yaani Katika mambo mengine yote ya Maendeleo hawakuona hata Moja wakajikita kwenye Gongo. Shame on you.
 
tunakushukuru sana kamanda , pamoja na kwamba sikupata lunch lakini baada ya taarifa hii najihisi kushiba .
 
Hizi ziara za mbowe na slaa naona zina ajenda mbili kuu. Kwanza kuutangazia umma wa watz kuwa adui wa chadema ni Zitto, sio ccm tena. Na ajenda ya pili ni kupata support ya wananchi ili kuhalalisha kinywaji haramu aina ya gongo. Hayo ndio yaliyoibuka katika ziara hizo
 
Back
Top Bottom