LIVE: Kutoka kata ya kaloleni,Mwigulu Nchemba awasihi watu kupiga kura,aahidiwa ushindi wa kishindo

"Hii ni ngome ya CHADEMA". Really?.

Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni heterosexual, gay or lesbian.

Waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai na maji taka ambazo wanaenda nazo mpaka bungeni.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda kama wananchi wanavyotaka kutende.
 
Mnatujazia server tu hapa.
SERVER?. Hata shilingi moja hujachangia JF kulipia gharama ya uendeshaji lakini kwa ujinga na fikra finyu, huoni hata AIBU kusema server. Kama wewe unasema na kulalamika server, wamiliki wa JF watasema nini.
 
unadhani wote wanaochangia jf wanaorodheshwa majina? mbona unahamaki sana.....
 
Maneno matupu hayajengi nyumba...Tusaidieni kuweka picha za kila kata na kila mkutano wa cdm na ccm na majina ya kata walizofanya hizo kampeni japo ni siku tofauti ila tujue tu nani alipata watu wengi zaidi,mwanzo mwakampeni zao mpk leo hii kabla ya jpili ili tufanye tathimini yetu humu kama wana JF kisha j3 tusalimiane kwa kushikana mikono,pls mwenye ujanja huo afanze hivyo tutashukuru sana ama kama mods mnaweza okoeni jahazi tafadhali

"Tafadhali hii haiko kishabiki bali ni ombi tu kwenu wana JF"
 
Juliana mimi ninakuhakishia hamtachukua hata kata moja hapa Arusha na kama mmepanga kuiba kura basi mjipange pia kulipa gharama zake na mkae mkijua Nchi yetu inaugeni mkubwa mwezi ujao .ninawapa tahadhari msije mkafanya makosa yatakayo liaibisha taifa.
 
Duh hiyo midevu huyu jamaa anajiandaa kuwa mganga wa Kienyeji nini?
 
Haya asanteni kwa mkutano uliojaa vizuri.
Warudisheni sasa watu wa mererani na monduli
 
unadhani wote wanaochangia jf wanaorodheshwa majina? mbona unahamaki sana.....
Unaandika ili tu kujibu hoja lakini conscience ina kusuta. Hujachangia.

Back to the topic. Si nasikia hiyo ni ngome ya CDM. Hivi neno NGOME lina maana gani ukilinganisha na idadi ya wakaazi wa Kaloleni.
 
"Hii ni ngome ya CHADEMA". Really?.

Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni heterosexual, gay or lesbian.

Waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai na maji taka ambazo wanaenda nazo mpaka bungeni.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda kama wananchi wanavyotaka kutende.
nyinyi ngome yenu iko wapi ambako watu hawawezi kuhudhuria mkutano wa Chadema? Acha utoto
 
Yaani Shonza wewe unafuatana na Mwigulu Nchemba tu. Mbona anakoenda Nape, au Jangili Alhaj Kinana wewe huendi, au ndio KIMFAACHO MTU CHAKE...

Halafu kwa jinsi ulivyokoleza picha hapo sidhani kama Mrs Mwigulu Nchemba atapenda, maana ingawa jamaa ana midevu kama Osama lakini ume_CROP hadi anaonekana Handsome :A S-heart-2::A S-heart-2:

Acha kukurupuka wewe,Nape ana siku mbili yupo Arusha sasa sijui unazungumzia nini.
Muache kada wetu shonza awashughulikie effectively tarehe 16 mtakipata.
Unadhani mke wa mwigulu mama Joshua ana akili fupi kama za yule kimada wa babu anayedhani mkorogo utamsaidia kuwa first lady.babu kaasi kanisa, akaasi na ndoa yake na kuamua kupokonya mke wa mtu halafu anamuita mchumba wakati amezaa naye.
hivi kale kazee kanaelewa vizuri maana ya mchumba?au laana ya uasi wa kiapo inamsumbua.
Mwigulu kiboko yenu.ccm iyena iyena
 
nyinyi ngome yenu iko wapi ambako watu hawawezi kuhudhuria mkutano wa Chadema? Acha utoto
Sisi hatuna NGOME kwa sababu CCM niya watanzania wote wa maeneo yote na kila sehemu ya nchi ni sawa tu.

Huwa nina washangaa sana CDM ambao wanadai watachukua nchi wakati bado wanadai wana NGOME katika baadhi ya maeneo ya nchi kama hili eneo la Kaloleni.
 
Mkutano wenyewe mahudhurio hafifu!!! Wekeni wa Peoplessssss Pawaaaaaaa!!! Mlinganishe!!! Hata mlete na tyson hakuna kitu!!
 
Mmmmmmhhhh nitafurahije ccm wakipigwa chini.... na hiyo itakuwa ni njia murua ya kwenda kuupata uhuru wetu watz (majority wright)
 
Back
Top Bottom