Naona sasa mambo yanaanza kunoga, naomba nilog-off kidogo, nitarejea punde kuwapa nyepesi nyepesi..
Sijamjua, mgeni rasmi, lakini kuna ma-cellebrite wengi ajabu, Duh! Dar kuna warembo! Mie naonekana kama Kinyago cha Mpapure LOLMgeni wa heshima nani?najua madamme rita lazima awepo plus mamiss wa bongo waliopita woote ,bila kusahau akina hassanali na coys.ni sehemu nzuri sana ya kurefresh.enjoyyy
Dah.......una raha wewe, mi hayo mambo naonaga kwenye TV tu!!! Lol