Live kutoka Dar Serena-Tanzania Mitindo House Fasion Show na Khadija Mwanamboka

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Niko hapa Dar Serena, kushuhudia Fasion Show iliyoandaliwa na Tanzania Mitindo House chini ya usimamizi wa Khadija Mwanamboka.


Kama kuna mwana JF aliyehumu tutafutane.
 
Naona ma-Modo wa kibongo wakitia timu na vivazi mashaallah!
Kama mamtoni asikwambie mtu
 
Naona ukumbe umeanza kupendeza na muda wowote mambo yataanza bila shaka!
 
Bahati mbaya siwajui Ma-Cellebrite wa Dar, ningeanza kuwaanika hapa, maana naona sura ambazo si ngeni katika magazeti ya Shigongo
 
Thanks kwa kutujuza ni ile show ya mwanamboka na shamim zeze waliyoandaa?siku ya mwanamke au sio?b
 
Duh napendaga hiyo mambo sana sababu ni viburudisho vinavokuwa hapo .
 
Namuona MC Regina Mwalekwa anachangamsha ukumbi na vijineno vyake vya mipasho hapa
 
Kuna yule dada mtangazaji wa Channel 5 aliyekwenda Big Brother watu wakachonga sana juu yake sijui anaitwa nani vileee, jina lake lina asili ya mkoa wa Mara. Namuona akiwafanyia mahojiano walimbwende waliokuja hapa, mimi nimetolewa nje na huyu kaka mshika kamera kuhojiwa ameniambia sina Profile! Eti mimi sio maarufu. Duh!
 
Naona sasa mambo yanaanza kunoga, naomba nilog-off kidogo, nitarejea punde kuwapa nyepesi nyepesi..
 
Mgeni wa heshima nani?najua madamme rita lazima awepo plus mamiss wa bongo waliopita woote ,bila kusahau akina hassanali na coys.ni sehemu nzuri sana ya kurefresh.enjoyyy
 
Mgeni wa heshima nani?najua madamme rita lazima awepo plus mamiss wa bongo waliopita woote ,bila kusahau akina hassanali na coys.ni sehemu nzuri sana ya kurefresh.enjoyyy
Sijamjua, mgeni rasmi, lakini kuna ma-cellebrite wengi ajabu, Duh! Dar kuna warembo! Mie naonekana kama Kinyago cha Mpapure LOL
 
Dah.......una raha wewe, mi hayo mambo naonaga kwenye TV tu!!! Lol

Mie mwenyewe haya mambo nayaonea huku Bara, kwetu ZNZ hakuna mambo haya, na leo nimepata mfahili ndo kanileta kuondoa kiwi cha macho. Zinduna na urembo wapi na wapi bibi!
 
Hebu ngoja nisipitwe. Maana mambo yameanza kuchanganya sasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom