WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wakuu,
Leo kwa mara nyingine tena tunaingia uwanjani kupambana na Timu ya Taifa Burundi katika mwendelezo wa michuano ya Challenge,na lengo ni moja tu kuhakikisha kwamba tunashinda mchezo huo ili kuwa Timu ya pili Kutinga hatua ya Robo fainali ya michuano hiyo.
Mchezo wa leo ni mgumu na hasa ikizingatiwa kwamba Burundi sio Timu ya Kubeza kwa sababu tayari wao ndio wanaoongoza kwenye kundi letu ingawa ni kwa tofauti na magoli ya kufungwa,tutajitahidi kuwaletea moja kwa moja michuano hii kwa siku ya leo kwa wale ambao watakuwa hawako kwenye TV wala redio.
lakini kwa wale wenye Tv TBC inarusha moja kwa moja michuano hiyo kutoka Kampala bila ushirika na Tv yoyote ile,lkini pia Kenya Broadcasting Co-oparation (KBC) ya Kenya,na Uganda Broadcasting Co-oparation (UBC) wanaonesha LIVE pamoja na Super Sport 9 East,Lakini kwa Redio kuna TBC Taifa,Kiss FM na Redio Free Africa Masafa ya kati.
Tuiombee Kilimanjaro Stars Ushindi..........Makoye Matale,Concrete,Bujibuji na Wengineo twende kazi sasa....