Kesho tutasikia gazeti la Uhuru JK afunika mazishi ya Mandela
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake nadhani!!!!!!For sure! Ameongea vizuri!
hahahahaha nguvu gani tena hizo??Practice makes perfect big up Kikwete maana nlikua nasubiri speech yake kwa nguvu zote
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru