Live:Kikwete amwagia sifa tele Jk Nyerere

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
202
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru
 
Wekeni hiyo speech hapa...word by word tusome alivyotuwakilisha na hasa nyerere baba yetu wa taifa.
 
Kikwete sasa ana exposure....kigugumizi kimepungua...anajiamini.....kwa kifupi ametoa hotuba nadhifu yenye nakisi ya historia fichwa ambayo mimi sikuwa naifahamu.
 
yaa leo kikwete hata mimi naona ametoa speech nzuri sana kwa dunia , tanzania itatambulika kwamba ni nchi iliyo tetea haki za watu wa afrika kusini hasa pale aliposema nyerere aliwapa passport za kusafiria wapigania uhuru wa south africa na hata mandela mwenyewe, great mkuu
 
Kaunda naye pia amemwaga sifa kemkem kwa nyerere na mama maria nyerere. Kwenye hotuba yake amemtaja nyerere zaidi ya mara kumi
 
Ila naona aibu Rais wangu kutambulishwa kama Dr. Kikwete. Udokta wa heshima huruhusiwa kuutumia kama title. Mbona Nyerere alikuwa nao, malecela pia, they never misused that Honorary PhDs like he does.
 
JK kakikumbusha kizazi kipya cha Afrika ya kusini ambao wanajiona sasa ni wazungu na kusahau walipotoka. Hii ninakumbuka vurugu za kuwafukuza waafrika wenzao. Kikwete amepasua jipu ambalo mzee KAUNDA amemalizia kulitumbua kwa kuwaeleza ukweli makaburu na mabeberu wotu walichowatendea waafrika. Kama mtakumbuka hotuba ya botha kwsa mwafrika utatambua jinsi wazungu walivyo wanafiki wanajifanya kuwa wanaamili usawa wa binadamu lkn ni uongo mtupu.Kinachoendelea sasa kwenye viwanja mbalimbali vya michezo na kwa kumdharau mwafrika ni kielelezo tosha kuwa hotoba ya botha kwa mwafrika ndivyo wazungu wanavyotuchukulia. Mzee kaunda kaongea ukweli na ninidhani hata akifa leo kaondoa kitu kilichokuwa ndani ya moyo wake na ninaamini ujumbe umefika kwa kila anayehusika dunia nzima. Hongera Kikwete Hongera Kened Kaunda
 
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru

JK hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
ila tatizo la hawa wasauzi ni ule ujeuri wao kuwapiga watu wageni wanao fanikiwa katika nchi yao
Jk goooood kwa kutupa historia ambayo hatujawahi kuisikia ever!
 
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru

JK hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Raha sana kama mkuu anaongea mambo ambayo wananchi wake wangependa kuyasikia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom