Live: Kikao cha UVCCM kata ya Ruanda, jijini Mbeya

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,086
Salaam wanabodi!

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi kata ya Ruanda mkoa wa mbeya jijini mbeya unaendelea ingawa nimeingia kwa kuchelewa nitajaribu kuleta kile nitakachopata hapa

updates:
Magamba wanapanga kulikomboa jimbo la mbeya kutoka mikononi mwa chadema pamoja na kiti cha udiwani wa kata ya ruanda inayoshikiliwa na chadema,yaani hapa hoja zote ni jinsi ya kuiondoa chadema hawana hoja zingine,

updates:
kuachia ikulu ni kitu ambacho hakiwezekani,chadema wasahau kabisa kuingia ikulu,tuko tayari kukesha nje,kumwaga damu lakini sio kuachia ikulu ichukuliwe na chadema.

More Updates

Vijana wa chadema kinachowasumbua ni njaa tu,na kazi yao ni ndogo tu tutawadhibiti tutaongea na wakuu wetu tuwaeleze njia za kuwamaliza vijana wa chadema kwa kuanza na kumaliza njaa waliyonayo!

Tutawaambia wenyeviti wote wa matawi watafute matatizo ya vijana! Tunaanza na jezi za mpira ambazo zote tutapiga chata ya chama cha mapinduzi mpaka mpira utapigwa chata ya CCM.
Tutawaagiza wakurugenzi wote kuhakikisha waajiiliwa wana kadi za CCM.

Nimeamua kutoka kwa sababu wanaongea Pumba tu hawana hoja za msingi!
 
nijuavyo mimi,kata ya ruanda haina UVCCM walio active wakuweza kujenga hoja za msingi zinazoweza kuhatarisha uhai wa BAVICHA KATA YA RUANDA. HATA uvccm wakae vikao 3000 hawataweza
 
Salaam wanabodi!

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi kata ya Ruanda mkoa wa mbeya jijini mbeya unaendelea ingawa nimeingia kwa kuchelewa nitajaribu kuleta kile nitakachopata hapa

updates:
Magamba wanapanga kulikomboa jimbo la mbeya kutoka mikononi mwa chadema pamoja na kiti cha udiwani wa kata ya ruanda inayoshikiliwa na chadema,yaani hapa hoja zote ni jinsi ya kuiondoa chadema hawana hoja zingine,

updates:
kuachia ikulu ni kitu ambacho hakiwezekani,chadema wasahau kabisa kuingia ikulu,tuko tayari kukesha nje,kumwaga damu lakini sio kuachia ikulu ichukuliwe na chadema.

More Updates

Vijana wa chadema kinachowasumbua ni njaa tu,na kazi yao ni ndogo tu tutawadhibiti tutaongea na wakuu wetu tuwaeleze njia za kuwamaliza vijana wa chadema kwa kuanza na kumaliza njaa waliyonayo!

Tutawaambia wenyeviti wote wa matawi watafute matatizo ya vijana! Tunaanza na jezi za mpira ambazo zote tutapiga chata ya chama cha mapinduzi mpaka mpira utapigwa chata ya CCM.
Tutawaagiza wakurugenzi wote kuhakikisha waajiiliwa wana kadi za CCM.

Nimeamua kutoka kwa sababu wanaongea Pumba tu hawana hoja za msingi!
(Bora umetoka kaka maana waweza chafua siku yako bure 7bu ya uchovu wa fikra za magamba,nenda kaendelee na kazi zingine za msingi;lakini kwa maeneo ya kata za mby wasahau.milema igyo imipapa)
 
Salaam wanabodi!

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi kata ya Ruanda mkoa wa mbeya jijini mbeya unaendelea ingawa nimeingia kwa kuchelewa nitajaribu kuleta kile nitakachopata hapa

updates:
Magamba wanapanga kulikomboa jimbo la mbeya kutoka mikononi mwa chadema pamoja na kiti cha udiwani wa kata ya ruanda inayoshikiliwa na chadema,yaani hapa hoja zote ni jinsi ya kuiondoa chadema hawana hoja zingine,

updates:
kuachia ikulu ni kitu ambacho hakiwezekani,chadema wasahau kabisa kuingia ikulu,tuko tayari kukesha nje,kumwaga damu lakini sio kuachia ikulu ichukuliwe na chadema.

More Updates

Vijana wa chadema kinachowasumbua ni njaa tu,na kazi yao ni ndogo tu tutawadhibiti tutaongea na wakuu wetu tuwaeleze njia za kuwamaliza vijana wa chadema kwa kuanza na kumaliza njaa waliyonayo!

Tutawaambia wenyeviti wote wa matawi watafute matatizo ya vijana! Tunaanza na jezi za mpira ambazo zote tutapiga chata ya chama cha mapinduzi mpaka mpira utapigwa chata ya CCM.
Tutawaagiza wakurugenzi wote kuhakikisha waajiiliwa wana kadi za CCM.

Nimeamua kutoka kwa sababu wanaongea Pumba tu hawana hoja za msingi!

Nakupongeza kwa taarifa hiyo mkuu na wala sihitaji ulete mipicha ya kijani na njano,mkakati wa ccm ni kweli wametenga pesa nyingi sanasana kwa ajili ya kununua vijana na watu wengine wa rika tofauti.TUTAPOKEA PESA,TUTAWAANDIKA MAJINA,TUTAWAUMBUA NA KUWANYANG'ANYA IKULU 2015 BILA KUMWAGA DAMU.
 
Back
Top Bottom