Live:Kikao cha harusi ya Madame B na Ruhazwe JR,kinaendelea!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live:Kikao cha harusi ya Madame B na Ruhazwe JR,kinaendelea!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Jun 10, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakubwa!
  zifuatazo ni ajenda
  • Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
  • Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
  • Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
  • Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
  • Kufunga kikao-Mwenyekiti
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  tupo sambamba mkuu ila bado nahasira..
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naomba usinialibie kikao ujue tumekupa hadhi kubwa,njo bila hasira uinjoy...vumilia tu si ulishindwa kutunza
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kikao chenyewe kimechelewa, hakuna vinywaji na mmekuja mmenuna, sie ndo tuliwatuma muoane?
   
 5. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  sawa banah ngoja nijitaidi.. list ya wanakamati inafata sasa hivi.!!
   
 6. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  WENYEVITI KAMATI NDOGONDOGO.
  charminglady - mapambo.
  badili tabia - vinywaji.
  erickb52 - ulinzi.
  judgement - jikoni(chakula).
  kongosho - honeymoon location.
  amyner - mweka hazina.
  m jr - usafiri.
  beibe nasty - zawadi.

  NB. kama hujaridhika na kamati yako unaweza kubadilishana na mtu
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  bajeti yenyewe ya vinywaji bwana harusi aliyopropose hata togwa hupati......

  Mwenyekiti wa kikao tafadhali himiza watu wachange kwa bidii, pleji mpya zinahitajika kufikia malengo   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa Kongosho nakupa zote mia,hapa kwa mweka hazina hapa mmmm! Naomba urudie,alafu hapo kwa beibe nasty mtafutie msaidizi.ulinzi anatosha labda muongeze Bishanga kwakua kikosi cha kova kitakuwepo hamna tatizo,bado ahadi,tunamsubiri mama wa bw/harusi afungue dimba
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  utaweza kushindana na TBL?maana mpango unafanywa ili uzalisha wa kiwanda wa wiki nzima uletwe kwenye harusi...usihofu wewe jiandae tu
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tatizo mama wa bw/harus mpaka sasa hajatokea....jamani Mama upo wapi
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  akija tutamtoza faini   
 12. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mimi hapo ucniamishe, ndo nnapopapenda
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Bw, harusi tuko njiani , tunakuja nampitia Beibe Nasty salon nimpik tuje.
  Kila kitu katika kamati yetu, tulishaweka sawa jioni ya leo.
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti mie najipa kamati ya sapraiz na mambo ya gafla ukumbin.
   
 15. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zawadi hakuna vyombo vya plastic, na kama ni pesa basi ianze 50000
   
 16. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hun fasta basiii bby nshamaliza mie
   
 17. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  nakuaminia mkuu naona umepewa sekta yako kabisa.!! show them wat u gat broh..
   
 18. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  ondoa shaka ila zisiwe sapraiz za kuharibu mambo ukumbin..
   
 19. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mura mbona mimi simo? Au mpaka nitoe ahadi ya kuwagharimia honeymoon?
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  aaa!...Bestman hutakiwi kuhangaika wewe unatakiwa uwe pembeni yangu tukiwa tumepiga sare za suti ya kufa mtu
   
Loading...