Live: Kenya vs Uganda on KCB1 Ni vita ya kisiwa cha Migingo!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,244
Leo ile vita ya kisiwa cha migingo inahamia katika soka na mwamuzi ni dk 90!
KCB1 yenye ukweli isiyo na umbumbumbu kama TBCccm inaonyesha Live:
 
Hakika kwa dk hii wameelemewa sijui ni mawazo ya msiba au?

Mechi kati ya timu hizo hutawaliwa na presha sana!

Nasikia leo washabiki wamekaguliwa kikamilifu na kuzuiwa kuingia uwanjani na chupa za vinywaji baada ya washabiki wenye hasira kumrushia chupa za maji Amama Mbabazi kwenye mechi ya Uganda na Guinea.
 
Uganda lazima washinde leo ili wa-qualify mara ya mwisho ilikuwa 1978 (33 yrs ago)!

Angola 1 Guinea bissau 0
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom