Live: Kenya vs Uganda on KCB1 Ni vita ya kisiwa cha Migingo!

Hawa Kenya mbona wana wabania Uganda...

kuna biashara hapa, Uganda wameahidiwa over 600M. Ushs na M-7 wakishinda hili gemu wakati Kenya wameahidiwa na Kibaki Kshs 60 M. Iwapo watashinda leo.
 
masikini Uganda yaani wanakosa mwana na maji ya moto hivi hivi......kweli nimesikitika sana
 
Leo nimesimama na Waganda, kwa kweli nakata tamaa. Mechi inaweza kwisha vibaya kwao.

Angola 2 Guinea bissau 0

Mechi ikiisha hivyo Uganda wanabaki na maumivu, Angola wana-qualify.
 
Sherehe zimeanza Luanda, vilio Uganda!

Watu wa afrika mashariki ovyo kabisa hasa wakenya ambao hawakuwa na nafasi yoyote ya kufuzi ila kutokana na ubinafsi wa wakenya wa kutaka kujiona wao ndio.supepower wa afrika mashariki wameamua kuwakomoa waganda na wana afrika mashariki kwa ujumla
 
wameniuzi sana hawa wakenya hawafai kabisa,hata ktk radio bbcswahili watu wengi wanawalani wakenya kuwabania waganda,ila naskia waliahidiwa kshs 60mln na rais kibaki,ok ndio soka kuna kushinda na kushindwa na kutoka sare.
 
Hata vigogo wasoka wa africa nadunia MISRI,NIGERIA,CAMEROUN,SOUTH AFRICA,CÖNGO DRC WAMEKOSA NAFASI YA KWENDA KTK FAINALI Za Can 2012,kombe liko wazi kwa Tunisia,ivory coast,senegal na ghana au moroco kama watafuzu,ila nampa nafasi ghana kuchukua kombe.
 
Watu wa afrika mashariki ovyo kabisa hasa wakenya ambao hawakuwa na nafasi yoyote ya kufuzi ila kutokana na ubinafsi wa wakenya wa kutaka kujiona wao ndio.supepower wa afrika mashariki wameamua kuwakomoa waganda na wana afrika mashariki kwa ujumla

Mkuu kwenye soka hakuna cha kuachiana hivihivi kisa EAC. Kumbuka Waganda wangewafunga wakenya wasingewapongeza kwa hilo zaidi yake wangewadharau zaidi. Nani yuko tayari kudhauliwa? Binafsi nimefurahi maana nina jirani yangu Mganda hapa leo nisingelala kutokana na majivuno yake. Bravo Kenyans.
 
Back
Top Bottom