johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara.
Karibuni!
Karibuni!
So what?Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara.
Karibuni!
Kuzindua mitaro iliyokuwa imeziba wakati wa masika huko mitaaniRais anafungua hotel jamani mkuu wa mkoa atafanya kazi gani
What?.........What!So what?
Kwangu mimi akija Albert Einstein nitashangaa mpaka shingo ikatike. Lakini hawa wa Ngekewa, hapana! (In Mdees voice)What?.........What!
Mbowe tunaye hapa kwenye ufunguzi!Kwangu mimi akija Albert Einstein nitashangaa mpaka shingo ikatike. Lakini hawa wa Ngekewa, hapana! (In Mdees voice)
Msalimie ingawa sina unasaba naye ila ni mpiganaji wa utu, haki na kila lililo zuri la mtanzania. yeye siyo wa ngekewa , au vipi John!Mbowe tunaye hapa kwenye ufunguzi!
bahresa atakuwa freemason huyu