Live itv:mjadala wa rasilimali za taifa;wageni dkt.mengi,prof.muhongo,mb.mnyi ka n.k

wageni waalikwa ni Dr.Mengi, Mb.Mnyika, Tundu Lissu,Prof.Mkandala,Prof.Muhongo na wengineo,Prof.Muhongo ndie atakae funga mkutano huu
 
Leo siku za mengi kuonekana boya ndo zimetimia.limjamaa linamcheck tu
 
maneno ya kusema kwamba wanataka kuchukua vitaru badala ya tpdc ni uongo wao wanataka washindanishwe sawa na wawekezaji wa nje .

pia unaposema watanzania hawana mtaji ni uongo sababu yeye toka mdogo amefundishwa mtaji ni ardhi na rasilimali zilizopo
 
uchumi wa Tanzania unamilikiwa kwa kiasi kikubwa na wageni.
na Dira ya Taifa 2020-25 inataka watanzania wawe wamewezeshwa kiasi kikubwa kumiliki uchumi wa nchi. msingi mkubwa wa uchumi unaokua endelevu lazima uhusishe wananchi sababu wageni wakishachuma uondoka -Mengi
 
kikubwa Mengi anataka wazawa nao wapewe vitaru katolea mfano Nigeria wazawa wamepewa asilimia 52 .hivo Tanzania lazima tutoe vitaru kwa wazawa na serikali ifate sera ya 2004 ya kumuwezesha mtanzania kumilik uchumi wake.

mnyika anaingia sasa hivi
 
Wasomi wa Udsm hao....Prof anadharau sijapata shuhudia kabla.....
 
Back
Top Bottom