Nasisi hatuna umeme
Radio One wapo hewani kwa mjadala huu.
Dr mengi ndio anaongea sasa
Umeme makwetu ni shidaaa tunashindwa kufuatilia mijadala moto moto kama hiyo
kikubwa Mengi anataka wazawa nao wapewe vitaru katolea mfano Nigeria wazawa wamepewa asilimia 52 .hivo Tanzania lazima tutoe vitaru kwa wazawa na serikali ifate sera ya 2004 ya kumuwezesha mtanzania kumilik uchumi wake.
mnyika anaingia sasa hivi
wakat huo huo profesa muhongo anacheka kwa dharau