Live ITV:Malumbano ya Hoja:Kuzuia fao la kujitoa mifuko ya jamii,je wahusika wamehusishwa?

Mgaya hana kitu siku hizi. Tayari ameshakuwa substantive Secretary wa TUCTA kwa sasa anazuga tu. Wakati ule alicharuka alikuwa anakaimu, ukali wake utarudi karibia na uchaguzi wa kugombea cheo chake. Subiri mwaka 2015, atacharuka huyu utashangaa, hii ni kwa sababu mwaka 2016 ni uchaguzi wa TUCTA.
 
Vyama vya wafanyakazi havina manufaa yoyote kwa wanachama wake.Kilichobaki ni kujitafutia ulaji na wamesau kabisa uwepo wao ni kutetea masilahi ya wanachama wao.
Kama kweli Mr.Mgaya unajua kuwa unanafanya kazi kwa bajeti ya wanachama wako iweje leo unashindwa kuwatetea wanachama wako MGAYA NA NINYI WABUNGE LENU MOJA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom