Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

Salamu kwenu GT.

Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Paul Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma, Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho ataweka wazi cheti cha Paul Chris tian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda kupatia elimu ya chuo.

Kupitia account yake ya instagram, Askofu Gwajima ametoa dondoo.

Wale wazee fa fa fa fa faaaaa mjiandae kesho kwa vyuma kutoka kwa The Great Pastor ever asiyefumbia wala kupepesa macho dhidi ya maovu na uonevu kwa watanzania dhidi ya genge la wahuni wanaotumia madaraka yao vibaya.

Kesho macho na masikio yote kwenye kanisa la Ufunuo na Uzima.

watanzania wajinga mpaka huruma

halafu ukiishaona au kusikia, what next? kipi kipya hapo??

katoe sadaka
 
Kanisa la Gwajima na wafuasi wake, pamoja na wale wanaoshabikia sakata la Makonda kupitia kanisa lake, yote hii inaonyesha uwezo mdogo wa watanzania kiakili.

Tusilaumu umasikini wetu, maendeleo duni na uchumi mbovu, tujilaumu wenyewe kwa kukosa akili na maarifa.

Wafuasi wa Mange Kimambi ni mfano hai mwingine.

mkuu umenena!! ni aibu hii

as if tushakuwa matajiri vibaya mno!!
 
EHE MWENYEZI MUNGU WAPE WATANZANIA ROHO YA UELEWA NA UTAMBUZI,! NAJUA BABA WENGI WALIKOSA ELIMU YA KUJIAMINI NA KUKOSA MSINGI IMARA WA KUJIKUBALI! EHE BABA WAPE ROHO YA HEKIMA NA BUSARA! BABA UKWELI WANA ROHO ZA KUPENDA USHABIKI,KUFATA MKUMBO,UMBEA,KUTOCHAMBUA MADA,KIUFUPI WENGI NI BENDERA FATA UPEPO! NI ROHO TU IZO BABA!, ZITOE BABA!DEAR GOD WAPE UWEZO NA UPEO WA KIMAWAZO JAPOKUWA ELIMU YAO NDO CHANZO CHOTE ILA WAEZA BABA! BABA WAUMBIE AKILI MPYA WAPE UWEZO MPYA! FUNGUA ROHO ZA TAMBUZI KWAO BABA! NAJUA NI KAMA TOO LATE MANAKE WENGI WAO NI MENTALLY DISORDERED THEIR ,OBLANGATA ALREADY BRAIN- PICKERS/BRAIN TRUST/BRAIN-PAN/BRAIN FLAGs! ILA WEWE WAEZA BABA! AMEN!
 
Huyu mtu amechanganyikiwa baada ya kushirikiana na wenzake kutengeneza film ambayo alikwisha tanngaza kanisani kwake kuwa " angeanua tanga" na ujinga huo daktari wa kemia kashtukia dili na kuruka kihunzi sasa anafikiria atawadanganya wafuasi wake kwa uongo gani? maana hata ule uongo wa kusema anafufua watu , ndugu yake wa damu , anayemjua A t Z alituthibitishia kuwa " HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA" sasa nanjuliza hao waumini wake wanakwenda kanisani kusali au kusomewa gazeti la mwanahalisi?

mara ya kwanza nilidhani mazombie yako kwenye movie tu!! kumbe wengi ni mazombie

waangalie wafuasi wa gwajima....wana tofauti gani na mazombie??
 
Anakemea maovu na watenda maovu,

funzo ni kwamba enendeni kwa amani msifoji vyeti tena.

ataongea mpaka lini?

maana maamuzi yashafanyika

kosa lake kubwa sawa na la mange, mnataka bashite atumbuliwe, huku mnamzodoa pia na mtumbuaji!!

be careful..watch out! hajaribiwi yule na anajimini sana
 
Bila kuwasahau wafuasi wa Bashite.
Of course, kama Bashite nae ana wafuasi, basi wote hao ni kundi moja. "Watu waliokosa akili na maarifa"! Huwezi kuwa shabiki wa watu aina ya Mange, Gwajima au Bashite, huu ni ujinga wa hali ya juu.
 
ataongea mpaka lini?

maana maamuzi yashafanyika

kosa lake kubwa sawa na la mange, mnataka bashite atumbuliwe, huku mnamzodoa pia na mtumbuaji!!

be careful..watch out! hajaribiwi yule na anajimini sana
Ataongea hadi somo lieleweke,
hata kama maamuzi yalishafanyika lakini atazidi kumkumbusha kuwa kuna kosa la kufoji cheti amefanya hadi atakapotubu,

ingekuwa ukishasoma fungu hutakiwi kulirudia watu tusingekuwa tunaenda makanisani kusikiliza mafungu yaleyale.
 
Kanisa la Gwajima na wafuasi wake, pamoja na wale wanaoshabikia sakata la Makonda kupitia kanisa lake, yote hii inaonyesha uwezo mdogo wa watanzania kiakili.

Tusilaumu umasikini wetu, maendeleo duni na uchumi mbovu, tujilaumu wenyewe kwa kukosa akili na maarifa.

Wafuasi wa Mange Kimambi ni mfano hai mwingine.




Hivi kati ya watanzania wanaomuunga mkono Gwajima na viongozi wanaomkumbatia Makonda ni nani aliyethibitisha kutokuwa na akili?Suala na kupambana na vyeti feki na watumishi hewa halikuanzishwa na wananchi,ni vita iliyoanzishwa na mkuu wa nchi.

Bila kuangalia asemacho Gwajima,suala la Makonda kutumia jina feki na vyeti feki ni ukweli ambao hakuna yeyote awezaye kuupinga kuanzia ikulu ya magogoni alipokumbatiwa hadi kwenu mnaomtetea.Siungi mkono madhabahu ya Bwana kugeuzwa ukumbi wa mijadala,lakini siwezi kuukataa ukweli kwa kisingizio chepesi cha kudharau anachokifanya Gwajima mtu ambaye kimetumika hadi kikosi maalumu kabisa cha ulinzi ili kulazimisha kurushwa kwa kashfa iliyolenga kummaliza.

Kama utumishi wa Makonda umegharimu hadi nafasi za makada wenzake waliopambana usiku na mchana kuipigania ccm tena wakati ambao "mbeleko" yake ilikuwa haifanyi chochote zaidi ya kusimamiwa barabara,kwa nini uione jamii ya watanzania kuwa ni watu wasio na akili huku ukiwatukuza wanaotumia madaraka yao vibaya kukiuka viapo vyao?

Makonda aliyevamia kituo cha utangazaji na kukiteka kwa muda huku akitishia kuwafunga watu miezi 6 na kuwaweka kwenye orodha ya wauzaji wa Dawa za kulevya,ulitaka afanye nini ili awajibishwe?Mwenye akili timamu hawezi kumwajibisha Nape aliyetimiza wajibu wake kuchunguza uhalifu uliofanywa na makonda,ni mwendawazimu pekee na mlevi wa madaraka awezaye kubariki uhuni uliofanywa na makonda.

Kama mnafikiri hatuna akili mnajidanganya,mnaweza kuvitiisha viwiliwili vyetu tu,mnaweza Kukodi majeshi na hata kuiuwa miili yetu ili tu kumlinda makonda,lakini kamwe hamtaweza kuuficha Ukweli kuwa makonda anatumia jina feki na vyeti feki vya kitaaluma.

Mnalazimisha jambo la kipumbavu sana,makonda hakushuka toka mbinguni,alizaliwa na kukulia katikati ya jamii,wazazi wake tunawafahamu,kumkingia kifua katika uhalifu wake na kumuacha aendelee kuikalia nafasi aliyonayo huku akitumia majina na vyeti feki ni uzezeta usiomithirika,ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha lami.

Hata makonda alindwe na kikosi maalumu cha ulinzi wa rais,haiwezi kuondoa ukweli kuwa ametenda jinai kwa kutumia majina feki na vyeti feki.Mazezeta ni wale wanaomlinda makonda,siyo sisi tuliokuwa na kucheza naye tunaomfahamu makonda kwa majina yake halisi.Zezeta ni yule anayetumia nguvu kumtetea mhalifu hapa jukwaani.
 
Uvivu wa kufikilia ndo umewafanya watz wengi waish kwa kusubilia matukio kama haya ili wajiingizie kipato!!
 
Habari za jumapili wanajf.. Nauliza Ufufuo na uzima kuna mapya leo? Wenye updates tupeni vionjo
 
Back
Top Bottom