Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Nimebadilisha channel namwangalia Mwakinyo,manake uwanja ushainama upande wetu hata on target moja hatuna.

Ndani tu ya dk 5 Manula kisha okoa mara tatu.
 
Kwa mpira wetu hapa tz kuna timu zikienda mechi kama hizi zinaweza kupigwa goli hata 4 za penalty kisha red card halafu hitimisho ni goli 8 hadi 10
 
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili

kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid


Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
TANZANIA 0 vs 1' TUNISIA

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom