Nicky82
JF-Expert Member
- Mar 14, 2009
- 941
- 64
madam speaker anasema bunge limeahirishwa na anawakumbusha wabunge kusoma kanuni maana bunge hili litakuwa full kanuni, watu wasije kulaumu kwa kutokujua kanuni.
Madam speaker anaongoza ule msafara wa Mr. presdent kutoka nje ya ukumbi na kuhitimisha zoezi la leo
Ni hayo tu wadau.
Madam speaker anaongoza ule msafara wa Mr. presdent kutoka nje ya ukumbi na kuhitimisha zoezi la leo
Ni hayo tu wadau.