Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

YANI PINDA BWANA KUMDHALILISHA MWESHIMIWA RAIS MBELE YA WAGENI WAKE RASMI KWA KUTOKA NJE NI GERESHA TUUUU...
HUYU NAE:rip:
 
Naona huyu mwana mkulima wa kiuongouongo anaaanza kujishushia heshima yake kwa kuzungumza vitu visivyomhusu, mkwere wa watu kajinyamazia na anaugulia ndani kwa ndani yeye anamtonesha tena!!!!
 
unajua PINDA nilikuwa namuona wa maana lakini kwa maneno yake haya .... naanza kum clasify kwenye kundi la hovyo kabisa
 
pinda kama waziri mkuu na kama kiongozi wa serikali bugeni wanaahidi ushirikiano kwa raisi.
hii protokali ya mdogo kufafanua hotuba ya mkubwa imekaaje tena????.......aggggrrrrrrrrrr!!!!!
 
At 1st nilikua najiuliza Jk kamjuaje Mzee Yusuph??? Kumbe nae anajua Mipasho??? " Waende waendako ila hapa watarudi tu"........
 
yaani hii hotuba haikuwa na jipya ni mipasho tulozoea tofauti ni tarehe na Mh spka. Ona nae Pinda keshaiga eti Chadema wapo kwenye Tv
 
Sasa huyu nae mbona anarudia yaleyale??? huyu jamaa kumbe nae hesh...a yake inashuka!!!!!
 
HAPANA MZEE PINDA HATUIKUBALI CCM KAMA HAMUAMINI PITISHENI KURA YA MAONI:smile-big:
 
pinda kama waziri mkuu na kama kiongozi wa serikali bugeni wanaahidi ushirikiano kwa raisi.
Hii protokali ya mdogo kufafanua hotuba ya mkubwa imekaaje tena????.......aggggrrrrrrrrrr!!!!!

si unajua walivyo wanafiki
 
Pinda nasema CHADEMA wameanza kuonyesha dalili ambazo hazitii moyo hata kidogo na anwasihi wananchi kuwakataa..........Hii ni full evidence kuwa hili tukio la chadema limewatisha
 
pinda sasa

  • umoja wa tz, wasiruhusu umoja wa watz ukavunjwa eti na baadhi ya vyama( moyoni akimaanisha chadema)
  • umuhimu wa kukuza uchumi, ili kukuza kipato cha wananchi
 
unajua kukulia kijijinikuna matatizo sana..sasa Pinda ndo kinachomuathiri hicho kukulia kijijini ,yaani hata rangi haoni eti CHADEMA wanangalia kwenye TV...mawazo ya kijinga kabisa haya kuyasikia kutoka kwa waziri mkuu wa nchi
 
PINDA yeye kila kitu kinamgusa sana, sijui hana maneno mengine!!!! ananiboa, hili ni genge la nanihii....
 
mkuu urudipo tembelea post kibao utapata habari ya kutosha lakini in brief;

  • mtoto wa mkulima ameapishwa
  • wabunge wa chadema wamemsusia jk kwenye ufunguzi wa bunge hili la 10
 
Back
Top Bottom