Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

It is not the only problem. Contrary to what everybody else is making it seems. That we fix ufisadi--then voila, shilingi itapanda, our exports will double and we will be energy efficient.

Simplifying our problems to only ufisadi; make some of us feel like maybe you don't even know our other equally big challenges.
When your house is leaking you do not continue building until you take care of the leaking problem. Today the house of Tanzania is reeking of ufisadi. Granted it is not the only problem, it is a major problem and you cannot fix other problems if you ignore corruption and its effects on efforts to bring about development, in education, health, infrastructure, etc.etc. Have you ever wondered why a lot of young people abroad are flocking to join CCM? Because it is a ticket to get rich quick. Ule moyo wa kulitumikia taifa letu aliotuasa Mwalimu Nyerere umeuawa kabisa na tabia za kifisadi. Look at Lowassa! Look at Chenge! Do I need to go on?
 
warusu demokrasia na uhuru wa asasi za kiraia.
wataruhusu ustawi wa demokrasia na kuheshimi haki za binadamu
 
Democrasia ipi??? vyombo vya habari vipi vilivyo na uhuru??? please KILL ME
 
kasi ya mapambano dhidi ya rushwa, tumefanya miaka mitani ilyopita, natambua hali ya uborshaji utendaji wa kazi serikalini..........
 
watapambana na rushwa na kuongeza uwajibikaji wa watumishi na kusistiza nidhamu kwa watumishi wa umma
 
Tangu lini alisema la maana zaidi ya kuahidi bila kutekeleza?? Hivi imani yake ya dini haimkatazi kusema uongo!! Akaungame kwa Shekhe Mkuu!! Wasaliti wa upinzani NCCR-Kugeuzwa=CUF=All others=CCM mbandala wametulia tuli wanakodoa macho mithili ya.....!!
 
miaka mitano iliyopita walitunga sheria ya kupambana na rushwa na ile ya kuzuia gharama za uchaguzi.
anasema sheria imesaidi kidogo kupunguza rushwa kwenye uchaguzi
 
Mbona haotuba ya mkuu haina kipya wala cha kujivunia bali nasikia maneno yakupeana matumaini

Mh spika tunagemea
1.kuongeza bajeti ya kilimo......
2.kufungua benki ya kilimo...
Kuanzisha viwanda......

Naahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi....

Tutapambana na rushwa...

Tutanzisha kanda maalum za mifugo

AHADI BADO ZINAENDELEA???????
 
masilahi ya wafanyakazi ... trafiki basic salary 156, 450 ataachaje kula rushwa ya 1,000...
Rushwa - Takukuru ya kumsafisha Chenge????
watuhumiwa waliohukumiwa kina afande sele.....
 
watafikisha umeme makao makuu yote ya wilaya pamoja na ile mikoa.
waunganisha mikoa yote katika gridi ya taifa.
watajenga mradi mkubwa mnazi bay, na wataendelea kusambaza umeme mijini na vijijini kufikia wananchi 30% kutoka 14% ya sasa.
anazungumzia demokrasia sasa......


Mbona haya ya kufikisha umeme makao makuu ya Wilaya hata 2005 yalikuwepo? Nimesema kama kusema uongo ni dhambi kwa imani yake basi akaungame kwa Shekhe na asitishe kabisa kuwalaghai walala hoi!!
 
waliimarisha TAKUKURU na anasifu jinsi vigogo walivyo shughulikiwa.
anaahidi kuwawezesha TAKUKURU na nawasihi wapongezwe wanapofanya vizuri na wakosolewe wakikosea wasibezwe hata pale wanapofanya vizuri. na muhimu kuwashauri kipi wafanye
 
ANAZUNGUMZIA TAKUKURU iliyochakachuliwa, acha upumbavu wako wewe?, eti VIGOGO wamewajibishwa na TAKUKURU, wadau ni kigogo yupi ambaye amefungwa kwa kesi ya RUSHWA?, zaidi ya mahakimu na mapolisi wanaopokea elfu 2, ndo wanaokamatwa, pumba tupu, ovyoooooooooooooooooooo
 
Elewa Chiliwe waliotoka ni wabunge wa chadema wakiongowa na wanachadema walioingia bungeni kindugu na kutuambia wanatoka kwa sababu wanawakimbia mafisadi wakati wanaotoka ni mafisadi wanaooooongozana.... Tusidanganyanye CHADEMA hawajakomaaa kisiasa ndio maana mwenyekiti, na uongozi mzima wakisema tutoke anaefuata ni mdogo wake ambaye kaingizwa bungeni kupitia mgongo wa kaka ama mjomba nae anatoka...... CHADEMA hawajakomaaa kisiasa....
Inaonekana kitendo kile kumekuuma sana pole hakitafutika ndiyo imetoka
 
Dah, ishu ya rushwa kaitaja fasta fasta kweli wala hajaeleza lolote la maana, anasema tuwapongeze wanapofanya vizuri heeee jamani mbona hazungumziii akina nanihiii, ndo kama kamaliza ishu ya rushwa,:? heri haata asingezungumzia hio ishu
 
Back
Top Bottom