Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

hospitali zipi kama zilizopo ameshindwa kushindana hata na mbuuu??
na je kitengo cha mama wajawazito ameshindwa kuwapa gloves za 500 tu upuuzi mtupu....
akaombe msaada hata wa kuua mbuuuu
 
Ze Guy is confused, amesahau kuwa alishatoa ahadi tayari bado utekelezaji tu, sasa hizi ahadi zote atazitekeleza zote kwa kipindi cha miaka mitano tu???
yeye keshasema atatekeleza....kuna kuna zingine anaziita shabaha.....so jibu linaweza kuwa hakulenga vizuri.......
 
hawatafumbia macho uharibifu wa mazingira hasa utunzaji wa vyanzo vya maji.
anataka mamlaka husika za mikoa zitimize wajibu wao kulinda vyanzo ili kuepuka uhaba wa maji utakaokuwepo kama hatutayunza vyanzo hivi
 
Ze Guy is confused, amesahau kuwa alishatoa ahadi tayari bado utekelezaji tu, sasa hizi ahadi zote atazitekeleza zote kwa kipindi cha miaka mitano tu???
Anaongea tu ili kufurahisha watu sijui kama yote yatatekelezeka.
 
Linking currently destruction of water sources, to potentially source of conflict in the future. He has a point.
 
anazungumzia umeme na kukumbusha kuwa wameongeza MG 195 za gesi na MG 100 zimekamilika na miaka mitano ijayo wataongeza 600MG in total
 
Jamani, kwani haya si yalisemwa tangia miaka ile? Hapo ninaloona jipya ni hili la kuongezeka kwa viti vya upinzani tuu ndo aloliona yeye
 
hivi kunawatu nyuma yake wameandaa mikono kumdaka?

maana hakawii kusema AISEEEEEEEEEEEEE
 
Mvua ya kichina....
warudishe Richmond....
gass mtungi wa 15kg ni 42,000 anajua kama gesi ipo wanamwezeshaje mtanzania wa kawaida ambaye anatumia mkaa gunia 14,000 kubadilika na kutumia gass ile kulinda mazingira???
 
Bado ana ahidi tu??? anachanganya vitu sijui ana matatizo sijui ila Mbatia nimemuona kwene viti vya waalikwa anamfariji Jk yeye hajatoka!!! Nyuso za waalikwa zimenuna, nadhani wanaona jamaa anaongea nanihii tu!!!!
 
CHADEMA baada ya kuanzisha mvua za rasharasha kwa spika na msaidizi wake wanasonga mbele na mvua za vuli ...... ... ..... itakapofika masika tutajua zipi ni mbivu. Safi sana ndege mwema huonekana tangu asubuhi.
 
sikiliza ile mibunge vihiyo inapiga makofi tu hata sehemu ya kusikiliza kwa makini.... mkitoka muwafundishe hatuko kwenye kampeni tenaaaaaa:A S angry:
 
watafikisha umeme makao makuu yote ya wilaya pamoja na ile mikoa.
waunganisha mikoa yote katika gridi ya taifa.
watajenga mradi mkubwa mnazi bay, na wataendelea kusambaza umeme mijini na vijijini kufikia wananchi 30% kutoka 14% ya sasa.
anazungumzia demokrasia sasa......
 
Masikini mkwereeeeeeeeee, pole sana ni haibu kubwa sana tena sana pole mkwere pole sana, shame on you
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom