Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
Wanabodi,

Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC

ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an interdisciplinary learning in hastening the transformation process by promoting the culture of transparency and accountability in our societies.

The conference theme is “Transformation to a culture of total transparency and accountability”.

The conference is held from 18th – 19th November, 2021 at the Gran Melia Hotel in Arusha, Tanzania.

Kwa wale ambao jana hawakuona huu mkutano, hivi ni baadhi ya vionjoLeo ndio siku ya pili na ya mwisho ya mkutano huu. Mzungumzaji wa kwanza ni Profesa PLO Lumbumba kutoka nchini Kenya, akizungumzia mada ya jinsi Bara la Afrika, linavyo deal na Covid

Prof. Lumumba anashusha nondo za kufa mtu, kuhusu nchi za Africa, zinavyowategemea former colonial masters kupambana na Covid kwa kutumia the colonial masters solution, to solve African problems.

Kiukweli jamaa anaponda mwanzo mwisho, jinsi Bara la Africa, linavyokuwa dictated cha kufanya na WHO, who are seated in Geneva!. Huu ni muendelezo wa ukoloni mamboleo.

Prof. PLO Lumumba, ameunga mkono hatua za JPM kudeal na Covid, za kuzuia fear and not denialism!

Karibuni tuendelee

Pascali.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
PLO Lumumba anaponda chanjo za uviko!. Anasema, juhudi za Africa kupambana na Covid is dis united, disjointed hivyo kuzifanya ziwe easily manipulated, na kuhusu chanjo, amekiri kuwa hata yeye amechanja kwa imani tuu, by faith only but no one real knows for sure baada ya miaka mingi, hawa waliochanjwa watakuwaje.

P
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,272

Pamoja sana "P"
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,193
2,000
In the Name of Transparency..., Hapo Bahasha mmeshikishwa ngapi, ngapi na Prof mpaka kuitwa hapo analipwa kiasi gani...

Sisemi kwamba ni vibaya kulipwa ila sometimes unaweza kuona mtu kwamba anafanya a Good Deed kwa Manufaa ya Jamii na Kujitolea kumbe yupo Kazini
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
Prof. Lumumba, anasema hawa our former collonial masters, wametufanya vibaya sana!. Wenyewe ulaya, ukichanjwa nchi moja, unakuwa free kusasiri nchi zote za EU, lakini huku kwetu, hata ukichanja na kutest Kenya, kuingia Tanzania, lazima u test tena, jana ametumia dakika 30 tuu kutoka Nairobi mpaka KIA Tanzania, hakuruhusiwa kuingia, alilazimika kusubiri saa nzima kupimwa tena!. What is this?. This is the same kutoka Tanzania kuingia Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi na Sudan. Wazungu hawapimi kuingia kila nchi, ukipima nchi moja ya EU, majibu yako yako nchi zote za EU, kwanini hili halipo kwa nchi zetu?.
P
 
Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
949
1,000
PLO Lumumba anaponda chanjo za uviko!. Anasema, juhudi za Africa kupambana na Covid is dis united, disjointed hivyo kuzifanya ziwe easily manipulated, na kuhusu chanjo, amekiri kuwa hata yeye amechanja kwa imani tuu, by faith only but no one real knows for sure baada ya miaka mingi, hawa waliochanjwa watakuwaje.

P
Sio kwenye UVIKO tu, Africans wapo dis United kwa kila kitu.

Africans ni kama mbuzi tu wanauzurura hovyo barabarani, jioni jua likizama, wanatafuta sehemu wakajihifadhi.
 
semtawa

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
360
500
Wanabodi,

Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC

ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an interdisciplinary learning in hastening the transformation process by promoting the culture of transparency and accountability in our societies.

The conference theme is “Transformation to a culture of total transparency and accountability”.

The conference is held from 18th – 19th November, 2021 at the Gran Melia Hotel in Arusha, Tanzania.

Kwa wale ambao jana hawakuona huu mkutano, hivi ni baadhi ya vionjoLeo ndio siku ya pili na ya mwisho ya mkutano huu. Mzungumzaji wa kwanza ni Profesa PLO Lumbumba kutoka nchini Kenya, akizungumzia mada ya jinsi Bara la Afrika, linavyo deal na Covid

Prof. Lumumba anashusha nondo za kufa mtu, kuhusu nchi za Africa, zinavyowategemea former colonial masters kupambana na Covid kwa kutumia the colonial masters solution, to solve African problems.

Kiukweli jamaa anaponda mwanzo mwisho, jinsi Bara la Africa, linavyokuwa dictated cha kufanya na WHO, who are seated in Geneva!. Huu ni muendelezo wa ukoloni mamboleo.

Prof. PLO Lumumba, ameunga mkono hatua za JPM kudeal na Covid, za kuzuia fear and not denialism!

Karibuni tuendelee

Pascali.

Safi kaka. Tuko pamoja.
 
Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
949
1,000
Prof. Lumumba, anasema hawa our former collonial masters, wametufanya vibaya sana!. Wenyewe ulaya, ukichanjwa nchi moja, unakuwa free kusasiri nchi zote za EU, lakini huku kwetu, hata ukichanja na kutest Kenya, kuingia Tanzania, lazima u test tena, jana ametumia dakika 30 tuu kutoka Nairobi mpaka KIA Tanzania, hakuruhusiwa kuingia, alilazimika kusubiri saa nzima kupimwa tena!. What is this?. This is the same kutoka Tanzania kuingia Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi na Sudan. Wazungu hawapimi kuingia kila nchi, ukipima nchi moja ya EU, majibu yako yako nchi zote za EU, kwanini hili halipo kwa nchi zetu?.
P

Hizo anazozungumzia Ni EU protocols za Covid (wamekubaliana waishi kwa namna hiyo). Je, sisi Africans tumekatazwa kuwa na protocols zetu? Jibu Ni hapana.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
In the Name of Transparency..., Hapo Bahasha mmeshikishwa ngapi, ngapi na Prof mpaka kuitwa hapo analipwa kiasi gani...

Sisemi kwamba ni vibaya kulipwa ila sometimes unaweza kuona mtu kwamba anafanya a Good Deed kwa Manufaa ya Jamii na Kujitolea kumbe yupo Kazini
Sijui kama wengine wameshikishwa bahasha, ila mimi siku zote, hufanya hizi kazi za habari kwa kujitolea, just for the love of it.
Mfano hapa Arusha, kampuni yangu ya PPR, imejitolea, kuwatengenezea vipindi 3 vya 30 minutes each. Mfano kipindi cha jana ni hiki

kinarushwa kila siku jioni
Saa 12:30-1:00 on ITV
Saa 1:00-1:30 on Star TV
Saa 2:00 -2:30 on Channel Ten
Saa 3:00- 3:30 on TBC.

Mimi kazi yangu ni contents generation, nafanya production bure, kazi yako wewe client is just to facilitate me and my team on transport, logistics na DSA, kisha unawalipa hao TV stations wanazorusha.
hivyo mimi silipwi kitu!.

P.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
Hizo anazozungumzia Ni EU protocols za Covid (wamekubaliana waishi kwa namna hiyo). Je, sisi Africans tumekatazwa kuwa na protocols zetu? Jibu Ni hapana.
Ndio maana Prof. Lumumba, anatuponda sana kuwa juhudi za nchi za Africa kupambana na Covid 19 is dis united, disjointed!. Kiukweli sisi Waafrika ni viumbe wa ajabu sana!. Unapima DAR unapata cheti, kufika Kenya au Uganda, lazima wakupime tena!. What is this?.
Amesema we are easily manipulated, baada ya kupewa hizi chanjo, baada ya muda wote waliochanjwa watalazimishwa lazima wachanjwe booster....
P
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,661
2,000
Prof. Lumumba, anasema hawa our former collonial masters, wametufanya vibaya sana!. Wenyewe ulaya, ukichanjwa nchi moja, unakuwa free kusasiri nchi zote za EU, lakini huku kwetu, hata ukichanja na kutest Kenya, kuingia Tanzania, lazima u test tena, jana ametumia dakika 30 tuu kutoka Nairobi mpaka KIA Tanzania, hakuruhusiwa kuingia, alilazimika kusubiri saa nzima kupimwa tena!. What is this?. This is the same kutoka Tanzania kuingia Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi na Sudan. Wazungu hawapimi kuingia kila nchi, ukipima nchi moja ya EU, majibu yako yako nchi zote za EU, kwanini hili halipo kwa nchi zetu?.
P
Sasa hapo colonial masters wamekosa nn kwenye kuruhusu mtu aliyechanja Tz kua free kuzurula Afrika bila bugudha
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,193
2,000
Sijui kama wengine wameshikishwa bahasha, ila mimi siku zote, hufanya hizi kazi za habari kwa kujitolea, just for the love of it.
Mfano hapa Arusha, kampuni yangu ya PPR, imejitolea, kuwatengenezea vipindi 3 vya 30 minutes each. Mfano kipindi cha jana ni hiki
Sasa kujua kama kina PLO wameshikishwa Bahasha si ni habari pia au hio itakuwa ni Uongo na Uzabizabina na kufuatilia maisha ya watu ?
kinarushwa kila siku jioni
Saa 12:30-1:00 on ITV
Saa 1:00-1:30 on Star TV
Saa 2:00 -2:30 on Channel Ten
Saa 3:00- 3:30 on TBC.

Mimi kazi yangu ni contents generation, nafanya production bure, kazi yako wewe client is just to facilitate me and my team on transport, logistics na DSA, kisha unawalipa hao TV stations wanazorusha.
hivyo mimi silipwi kitu!.

P.
Mkuu ushakuwa mwanasiasa ofcourse production unafanya bure ile si kwenye content huko unalipwa / unajilipa na facilitation ni subjective (huenda hayo ndio malipo yenyewe) kama mimi uwezo wangu wa kukufacilitate ni kukulaza kwenye mkeka kwenye madarasa ya shule ya karibu utakubali...., Pia hio content mkuu si ina sponsorship ambayo inakuingizia?

Don't get me wrong sipingi unachofanya kwanza ndio nakusifu na tunataka watu wengi kama wewe kwahio hongera badala ya kumkamua client tengeneza content nzuri na unafaike nayo through matangazo na sponsorship (win / win) tatizo kwenye hizo facilitation nikikufacilitate unakuta badala ya kutoa habari ambayo sio biased inakuwa sio habari tena bali ni commercial na kusifia / not critical
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,911
2,000
PLO Lumumba anaponda chanjo za uviko!. Anasema, juhudi za Africa kupambana na Covid is dis united, disjointed hivyo kuzifanya ziwe easily manipulated, na kuhusu chanjo, amekiri kuwa hata yeye amechanja kwa imani tuu, by faith only but no one real knows for sure baada ya miaka mingi, hawa waliochanjwa watakuwaje.

P
PLO Lumumba ni mtu mwenye frustration sana. Ni wa kuhurumiwa.
 
Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,040
2,000
Mayala kaka yangu ina maana anachosema Prof Lumumba ni kwamba Trump alikuwa sahihi kuhusu Waafrika na watu weusi kwa ujumla...
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,504
2,000
PLO Lumumba ni mtu mwenye frustration sana. Ni wa kuhurumiwa.
Anaweza kuwa ni kweli ana frustrations zake, but what he speaks, makes a lot of sense.
Kitu ambacho mimi natofautiana na Prof. PLO Lumumba, ni kwenye his dress code. Anavaa majoho fulani hivi mimi nayaona kama funny dressing!. Leo amevaa shati fulani liko kama blouse ya ile mijimama 'iliyojaaliwa' hivyo hilo shati kwa nyuma lina marinda ili ku accommodate "mzigo", hala mtu mwenyewe ni mwembamba kama chelewa!.
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom