Live, Eat, Drink and Breath JF

Sam GM

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
535
27
Live, Eat, Drink and Breath JF

It is amazing that mafisadi wanachungulia JF kila kukicha kuangalia nini kimeandikwa, JF haitalala hadi kimeeleweka. Wapo wanaotafuta habari za kufanyia kazi hapa na wanaotafuta sababu za kuondoa credibility ya JF kama ni mtandao wa majungu pia hapa hapa. Ukweli ni kwamba credibility ya JF inapatikana kutokana na nyeti zinazokuja kwa facts na vielelezo.

Wakati wengine wanatapa tapa, wengine wana live, eat, drink na ku-breath na JF as a social, economic, ethics and political forums. Kuna wakati unachoka kusoma na kuandika basi unabofya Zilipendwa au bongo fleva basi burudani mpaka chee!!!
 
kweli kabisa gm,

Sasa hivi nasikiliza wimbo wa Marlaw - Rita kwenye hiyo player ya bongoflava iliyo hapo juu.

Long live JF
 
Mwafrika wa Kike,

Wakati Jambo imefungwa hii miziki mie niliikosa sana, naweza kukesha na JF siku hizi hata nafanya vitu vyangu na Muziki ukiporomoka
 
Tuendelee kuweka habari zenye ushahidi kuna siku hapa patatambulika rasmi na vyuo vyetu kama source of information, yaani mwalimu anamtuma mwanafunzi aende kucheki JF ili kujazia essay yake.
 
Mpaka Kieleweke,

Hizi ndio dreams za sawa sawa kama zile za Martin Luther King Jr. "I have a dream.....!
 
Mkuu umenichekesha saaaana. Duuuuh JF kiboko bana asikudanganye mtu! Hata wale wanaoipondea, Iam sure haiwezi pita siku hawajachungulia humu. Siku hizi hata magazeti unaona kabisa wamechota humu kisimani..kwa wale tunaojua na kuangalia kwa makini....

Sidhani kama watanzania tumesha wahi pata jukwaa la kutuunganisha hivi kwa common cause ya kutetea nchi yetu! bila kujuana who is who!

Hapana JF ni kiboko! Shukrani nyingi sana ziwaendee invisible na kundi lake! Ama kweli kila mtu ana mchango wake katika harakati za ukombozi wa kweli!
 
Masanja,

Nafikiri kitu kinachofanya JF kuwa effective au kuchunguliwa kila wakati ni suala la kuchanganya mitizamo tofauti ya kimawazo na itikadi. Wapo wale watakaokuudhi hadi unachanganyikiwa, na wapo wale ambao watakuletea hoja hadi unaona bora tu nijiunge ili niingie katika mjadala. kwangu mimi binafsi nilikuwa napita tu kusoma na kuangalia habari gani mpya au kusikiliza mziki, siku hadi siku interest ya kuwa mchangiaji au kutowa mawazo na mtizamo aidha kwa upande wa hoja au upande wa kupinga ikawa inaongezeka hadi ikawa kawaida ya kusoma JF kama vile ndio gazeti la kila siku.
 
Naona katika ku-live na ku-breath hapa JF, kwa sasa hata magazeti yote yanakuja hapa na tunayapata wa kwanza kiasi kwamba kama mie niliisha acha kwenda site za magazeti kuyatafuta.
 
Mpaka Kieleweke,

Hizi ndio dreams za sawa sawa kama zile za Martin Luther King Jr. "I have a dream.....!

This is one of the Historic Speeches in ones life.
Archbishop Desmond Tutu says 'Dream,go on dreamin' coz you are there to make your dream come true.'
 
JF is our Disneyland, Slipway, Movenpick, Anatoglo, Diamond Jubilee, Bungeni, Kamati kuu, Halmashauri kuu, Kazini, Shuleni na Nyumbani!

JF is our life, examining our past, living the present and plan the future!
 
Rev. Kishoka,

Maisha Bora yatakuja kwa kupitia hapa na sio kwenye hiyo kasi mpya ya JK ambayo haina mwelekeo.
 
JF is our Disneyland, Slipway, Movenpick, Anatoglo, Diamond Jubilee, Bungeni, Kamati kuu, Halmashauri kuu, Kazini, Shuleni na Nyumbani!

JF is our life, examining our past, living the present and plan the future!

LOL! Rev....but that is the truth.
 
If we can imagine anything, we can achieve it If we can dream anything, we can become it. In JF winning is our aim, but if we cannot win, let us be brave and honest in our attempts. It takes but one positive thought when given a chance to survive and thrive to overpower an entire army of negative thoughts. Long live JF.
 
It takes but one positive thought when given a chance to survive and thrive to overpower an entire army of negative thoughts. Long live JF.
Something interesting is coming... It's coming soon... Expect it in September 2008!

JF to the next level...
 
If we can imagine anything, we can achieve it If we can dream anything, we can become it. In JF winning is our aim, but if we cannot win, let us be brave and honest in our attempts. It takes but one positive thought when given a chance to survive and thrive to overpower an entire army of negative thoughts. Long live JF.

Mg3,
This should definitely be the spirit!! and we will achieve it, it's just a matter of time believe me.
 
Something interesting is coming... It's coming soon... Expect it in September 2008!

JF to the next level...

Inv,

Give us some hints pal! you know what happens in JF does not stay in JF, it keeps every body spinning their heads and searching for!
 
JF is our Disneyland, Slipway, Movenpick, Anatoglo, Diamond Jubilee, Bungeni, Kamati kuu, Halmashauri kuu, Kazini, Shuleni na Nyumbani!

JF is our life, examining our past, living the present and plan the future!

Its like the king's courtyard!..under the tree ..kwa wale machifu wa zamani au mikutano ya kijiji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom