Live: Diamond platnumz akizungumza na waandishi wa habari kutoka Hyatt kilimanjaro hotel

Dripboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
3,178
4,602
Diamond platnumz anazungumza na waandishi wa habari juu ya kuanza kwa tamasha la Wasafi festival 2019.

"Mwaka huu tutaenda mikoa mingi zaidi ya mwaka jana na watu wategemee burudani zaidi"

"Mikono juu mikono chini zinaboaga"

"Ukinizungumzia mimi kama mimi mwaka huu sicheki na kima nitapafomu kwelikweli"

"Air Tanzania leo hii ndio inatusaidia sisi kufika kwenye mkoa wake kufanya show naiahukuru sana air Tanzania"

Mikoa mitatu ya kwanza wasafi festival itakapoanzia:
12/7/2019
ndio rasmi Wasafi festival itaanza na itaanzia Muleba mkoani kagera.
14/7/2019 Wasafi festival inadondoka Tabora.
20/7/2019 Iringa.
"Katika kila mkoa tutakapoenda chibu perfume itakuwepo"

7/7/2019 diamond atafanya balaa mjini hapa na meza kumi tu ndio zitauzwa na meza tano zitauzwa million tano tano na tano zingine million mbili mbili.

Msemo rasmi wa Wasafi festival utazinduliwa wiki hii na watu wanaruhusiwa kusajesti (suggest) misemo.

"Nimeachia The one ikapokelewa vizuri sana, nimeachia Inama na fally ipupa imepokelewa kwa kishindo, nimeachia kanyaga imepokelewa kwa kishindo hadi naogopa"
"Baada ya wiki tatu au mbili tunaachia jiwe jingine" (Babu tale)
64731642_151196189381175_5738658248370052786_n (1).jpg
 
Haya mambo ya kidato cha pili ngoja nipite
Mambo ya kidato cha pili ila yana fedha nyingi kuliko hata za gavana wa benki kuu!

BTW kwa mwezi unachezea laki tano -nane hapo hujakatwa madeni ya mikopo mbalimbali uliyonayo kwenye haya mambo ya kidato cha pili kwa masaa sita tu watu wanazaidi ya 30 million unakwama wapi mkubwa?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom