Live coverage ya kuumbuana

Zile zilizopelekwa kwa rais nini kimetokea hadi sasa zaidi ya kutumbuana? Kuna hata mmoja muhusika amefilisiwa na kufungwa?
Swala la kufilisiwa ni kwa mujibu wa sheria, huwezi kutaka kila muhalifu ahukumiwe kunyongwa wakati hukumu yake kwa mujibu wa sheria ya bunge ni kifungo cha miaka 10 hadi 35
 
Bunge linasimamia nini mpaka iunde tume?
Anayeunda tume si ndio wa kuitolea maamuzi,binafsi naona ni ya bure tu.
Ujui kitu nyamaza, maamuzi ambayo spika anaweza kuyashughulikia mwenyewe ni yale ambayo watuhumiwa wake wapo kwenye mamlaka ya bunge, mambo ambayo yapo serikalini spika lazima aiachie serikali, mambo ya wizara ya nishati na madini ni mambo ya serikali
 
Bunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.

Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
Kamati hazijaanza leo, acha ushamba.
 
Bunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.

Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
Neno "mbumbumbu" umelipenda sana.Sheria mtunge nyie,kuiba muibe nyie,tume mpange nyie na mwisho mtushirikishe.Kweli sie
 
Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Kwa akili yako ilivyo kubwa, kuna siku utasema hakuna kabisa haja ya kuangalia kabisa TV....
 
Back
Top Bottom