Live Clouds tv: Kikwete anahutubia wanachama wa Yanga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,431
Rais mstaafu Dr Kikwete amewataka wana Yanga kuwa wamoja na wajikite kwenye kuiletea klabu maendeleo. Amewataka wabuni njia endelevu ya kuiletea klabu mapato na wasiige ile ya kumkabidhi timu mwekezaji mmoja kwani akipata matatizo maana yake Yanga nayo itapata matatizo.

Katika mkutano huo wa harambee ya kuichangia klabu ya Yanga mgeni rasmi ni Waziri mkuu Kassim Majaliwa
Viongozi wengine waliohudhuria ni pamoja na Waziri Mwakyembe na RC Makonda.

Dr Kikwete amealikwa kama mgeni maalumu.



Maendeleo hayana vyama!
 
Hahaha nimeamini sasa juhudi za kumfukyza Manji hazikuwa za Magufuli peke yake ni za CCM.
Wangekuwa fair kama wangemfukuza MO wa simba, ili uvcc wazichangie zote simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom