Good! Kwenye baraza la mawaziri kuna waziri mmoja yeye kazi yake ni kukaa kimya tu, eti hiyo ndo busara yake. Mabomu yakiripuka yeye kimya! anahamishwa wizara. Kipindupindu kinaua yeye kimya! anarudishwa alikotoka yanaripuka tena yeye kimya!So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk
Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Busara haipatikani kwa kukaa kimya. Haipatikani kwa kutofanyakazi au kusamehe wezi, kuruhusu vyeti vya kugushi, n.k
btw. anayetafuta busara ya wengine, yeye mwenyewe awe na busara.