Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Kwa wale wenye king'amuzi tizameni Sibuka TV Wanaonyesha mkutano wa chadema live
Sasa sisi wa mikoa hoi tutaonaje?
ishu co kuwa mkoani je una king'amuzi cha startimes
niko namanyere sumbawanga. Sibuka tv naipataje?
Asante startimes ndio naipata hii now lissu anakamua vibaya.
Kwa nini wanatumia sibuka tv na siyo itv, chanel 10, star tv au tbc zinazopatikana kwa wote
Nunua king'amuzi cha startimes.