Mkuu hii ndo ya mwisho.Mkuu, kwani kuna wizara imebaki?
siasa hizo. Kama ndivyo kwa nini deni hilo halipungui bali kinyume chake???anasema kuwa kiwango cha deni la taifa ni kidogo ukilinganisha na ukuaji wa pato la taifa. Kwamba uwezo wa nchi kulipa deni hilo ni mkubwa kuliko ukuaji wa deni
Fuatilia vizuri taarifa mkuu hauko sahihi sana.siasa hizo. Kama ndivyo kwa nini deni hilo halipungui bali kinyume chake???
Mkuu, kwa uelewa wangu ni kuwa hakuna bajeti ya wizara ya fedha.Anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya WIZARA YAKE YA FEDHA, siyo ya SERIKALI. Bajeti ya serikali itasomwa kama kawaida alhamisi wiki ijayo kwa pamoja na nchi nyi ngine za Afrika Mashariki
Wewe ndiyo umepotosha waziri wa fedha huwasilisha bajeti ya serikali.UMEPOTOSHA.
Kwa sasa anawasilisha bajeti ya wizara yake ya fedha na si bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2013/2014.
Ipi na ipi acha uongo.bado bajeti mbili
Pamoja sana mkuu. Hata bajeti ya wizara ya fedha ni bajeti ya serikali piaAnawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya WIZARA YAKE YA FEDHA, siyo ya SERIKALI. Bajeti ya serikali itasomwa kama kawaida alhamisi wiki ijayo kwa pamoja na nchi nyi ngine za Afrika Mashariki
Kwani kuna sehemu nimeandika kuwa hii ni bajeti kuu ya serikali? Nimesema kuwa waziri mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali sema tu sikumalizia ni wizara gani. Ila kumradhi kwa wale waliokwazikaOna sasa..Usikurupuke kupost kitu bila utafiti wa kina...hiyo ni bajeti ya wizara ya fedha, bajeti kuu ya serikali itafuata baada ya kuisha wizara zote na nadhani hii wizara ni ya mwisho.