Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Pamekuwa na mivutano mikubwa katika kuonesha moja kwa moja bunge la jamhuri na kutolewa sababu kedekede na serikali kwa uamuzi wa kutoonesha 'live' kipindi chote cha bunge. Kwa upande wa baraza la wawakilishi ni tofauti kwani ZBC inatupa burdan kwa kuonesha moja kwa moja mkutano huo!