LEO ndo kwa mara ya kwanza Tv E wanarusha matangazo ya moja kwa moja toka Show ya mchizi wangu mwembe yanga Temeke.....wajuzi tuwape pongezi zao na ushauri jinsi ya kujirekebisha na kuboresha matangazo ya mubashara maana kwasasa ndo TV inayoangaliwa na vijana kwa wingi.
Kwasasa wasanii wa singeli wanaendelea kutumbuiza , Dogo Niga kashuka huyu wa sasa sijui anaitwa nani
Kwasasa wasanii wa singeli wanaendelea kutumbuiza , Dogo Niga kashuka huyu wa sasa sijui anaitwa nani