Live Azam2:EID komedi gala

Kwa kweli kazi ya kuchekesha ngumu..

Kwenye stage ni Dogo Pepe kidogo anajitahidi kidogo watu wanacheka.
Mkuu acha kazi ni ngumu ila maana hawa jamaa wametokea kwenye stori za vijiweni sasa kwenye stage confidence zote kwishney
 
Wajuvi wa mambo ninafatilia hii event naona hawa komedian wanalazimisha kuchekesha..ni aibu nmegawa marx kama ifuatavyo
1.mau fundi= 27
2.pepe= 32
still naendele kufatilia ntawajuza wajuvii wa mambo
 
azam EID KOMEDI GALA (updates)

  1. Wajuvi wa mambo ninafatilia hii event naona hawa komedian wanalazimisha kuchekesha..ni aibu nmegawa marx kama ifuatavyo
    .mau fundi= 27
    .pepe= 32 katarina 17
    still naendelea kufatilia ntawajuza wajuvii wa mambo
 
Mimi naamini KUCHEKESHA kunaanza na appearance. Nani anawachagulia mavazi hawa comedians wetu? Comedian anatinga suti kali as if yeye ndio kaja kucheka badala ya kuvaa vazi lenye utata ili kwamba hata kwa kumuona tu uanze kucheka.

joti-35B15D-1.jpg


Angalia nguo aliyovaa Katarina, kapiga make up kama anaenda kushindana urembo. Wote appearance zao poor.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom