Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,472
Yaani mwanaume umri umekutupa age imeenda una mpaka wajukuu hautulii nyumbani..
Mkeo msafi, mpishi mzuri, lugha nzuri ila ile tabia ya ujanani haikutoki! Eti wavunja mifupa bado meno yapo!!: Still a liar unatembea na watoto 20's unazaa na mwanamke mtoto kalingana na mjukuu wako!! Aah muda mwingine tabia zibadilishwe na umri basi jamani khah!
Mwanamke age imeenda you have older childrens wameshaletewa posa, ila bado wataka kutembea na vitoto 20's.. Ni nini tatizo? Kukosa kuzipata raha ujanani au?
Unahudumia the so called nyumba ndogo na kuacha family yako yajihangaikia? Hivi shida ni nini haswa kwa hawa watu na familia zao na umri wao mkubwa tu kuhangaika na watoto wadogo?
Asprin, Kaizer njoo mniambie ni nini shida!

Last edited by a moderator: