Little-known Kenyan firm buys $180m cashews from Tanzania

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
Wakuu,

Kuna mjadala unaendelea humu (usome Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei? - JamiiForums ) ila nimeleta hii separately ili tuone wenzetu huko Kenya wamelichukuliaje.

===

A little-known Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts for Tsh418 billion ($180 million), Tanzania Trade minister said.

The sale deal was signed on Wednesday at the Arusha-based East African Community headquarters between Tanzania's Director of Cereals and Produce Board, Dr Hussein Mansour and Indopower Solutions CEO Mr Brian Mutembei.

The crop is part of the 213,000 tonnes that the government has been holding after President John Magufuli ordered the entire cashewnut harvest be bought directly from the farmers in October for $1.43 (Tsh3,300) per kilogramme.

The Minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said the sale was a relief to the government's efforts to find market for its most valuable export crop.

He added that some 18 foreign processing firms have also shown interest in buying the crop from Tanzania.

The bulk of the raw cashewnuts are shipped from Tanzania and other African countries to be processed, mainly in Vietnam and India.

Mr Mutembei said cashews would be processed and re-exported.

"Hauling of the cashews would commence anytime from next week," Mr Mutembei said in Arusha.

According to the Food Agricultural Organisation, Tanzania ranks fourth in the production of cashewnuts in Africa, accounting for 20 per cent of the regional market share.

It is preceded by Nigeria, Guinea-Bissau and Cote d'Ivoire. Tanzania ranks the eighth at a global level with the Far Eastern countries taking the top slots.
 
Lazima wawakilishi wa Bank guarantor walikuwepo,wana husika. Hujuma ya Dr.Shika Hapo.

Somo Muumba pekee alitamka na ikawa. Sisi wanadamu Tunaishi kwa mipango.
 
Ijulikane sana au kidogo hilo sio muhimu sana tunachojali ni kwamba hiyo ni kampuni halali inayotambulika na mamlaka za Kenya fullstop!
 
Kuna uzi mmoja ulionyesha bei ya korosho kwa dunia nzima na bei ambayo tunatakiwa kuuza kwa sisi ambao tulinunua kwa mkulima kwa 3300 na kwa kuzingatia na gharama zingine za usafiri.

Simply ni kwamba tulitakiwa kuuza kwa zaidi ya bei ya dunia.

Kwahiyo hii firm haijui bei ya dunia? Tumeiingiza mkenge? Au imetushika pabaya ikala advantage?

Hiyo taarifa haisemi Tanzania imeuza kwa kilo shilingi ngapi (Usiniambie nipige hesabu tafadhali).

I hope tumewapiga wakenya ni washamba sana.
 
Back
Top Bottom