Little help here please!

Charles1990

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
249
46
Waheshimiwa naombeni mnisaidie mtandao unaotoa huduma ya internet kwa bei ya chini kwa simu za mkononi.
Nimenunua kifurushi cha MB 50 kwa sh.2000(monthly bundle)lakini naona hakitoshi na speed ni kama ya jongoo.
Kuna mtandao mwingine unaotoa kiasi kikubwa zaidi cha data kwa bei hii(2000)?
Au unaotoa kiasi kikubwa na bei ni nafuu kidogo.
Nahitaji kifurushi cha mwezi TU!
Nisaidie mkuu kifurushi changu ndio kinaishia hivyo.
 
Jaribu zain mimi nimenunua bandle ya 400mb kwa shs 2500 ya mwezi. kwa matumizi ya cmu 400mb ni nyingi mno. speed ni ya kawaida.
 
Jaribu zain mimi nimenunua bandle ya 400mb kwa shs 2500 ya mwezi. kwa matumizi ya cmu 400mb ni nyingi mno. speed ni ya kawaida.

Whaaaaaaaaaaat!!!Sijawahi kusikia hii kabisa.Hizo mb400 zinakaa muda gani??Nikinunua line mpya nikiweka leo leo kitaeleweka?Nashukuru sana kwa msaada wako Dedii.
 
Whaaaaaaaaaaat!!!Sijawahi kusikia hii kabisa.Hizo mb400 zinakaa muda gani??Nikinunua line mpya nikiweka leo leo kitaeleweka?Nashukuru sana kwa msaada wako Dedii.

Aaaa kaka, mbona iyo ya zamani sana. Inakaa mwezi na ikiisha unajaza tu. Just send the word INTERNET to 15444
Kuhusu speed inategemea kama unapata EDGE, GPRS or 3G. Ila hii ndo TZ bwana bado tupo slow, uvumilivu tu
 
Mi sijasikia kabisa hii!Vodacom wameshakula sana buku mbili zangu halafu wananipa eti mb50 tuuu!Haimalizi hata wiki 2(hapo nimejibana sana)Sasa ndio ninaihama vodacom kama ifuatavyo.....
Nashuruku sanaaaaa!Kwa hiyo nikiandika tu INTERNET inatosha?Siongezi neno kuashiria kama ni ya wiki,siku au mwezi?
 
ZAIN KWA CM NI BOMBA MNO. UKITAKA UNAPATA HATA MB 20 kwa shs 500. mi huwa ctumii hata 10mb kwa cku. it worthy the money try it.
 
hauongezi chochote, ivo ivo tu.
 
ZAIN KWA CM NI BOMBA MNO. UKITAKA UNAPATA HATA MB 20 kwa shs 500. mi huwa ctumii hata 10mb kwa cku. it worthy the money try it.

Dah!Kweli unapata thamani ya hela yako.Mi natumia opera mini kubrowse,ilikuwa inanibidi ni disable images ili page iwe ndogo mb 50 zisikate fasta.Umeokoa jahazi.
 
Mimi nadhani Zantel wana speed nzuri ya 3.1Mbps kwa almost everywhere walipo na coverage ya CDMA na ni miji yote ya mikoa ipo na coverage hiyo and you can get 2GB volume of data for only 10,000 weekly or 35,000 monthly. kujiunga na offer just dial *190# katika simu yako ya zantel gsm then dial *775# to buy bundles(kabla uwe umeshanunua zantel modem na kuirecharge not less tha 10,000 by dialing 104 na pia remember yr gsm phone utakayotumia kujiunga iwe na min credit balance ya 1000 tshs) try and see the difference!!
 
ni miji yote
tatizo liko hapo tu kwenye miji, ukitoka nje ya mji kwishnei
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom