Charles1990
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 249
- 46
Waheshimiwa naombeni mnisaidie mtandao unaotoa huduma ya internet kwa bei ya chini kwa simu za mkononi.
Nimenunua kifurushi cha MB 50 kwa sh.2000(monthly bundle)lakini naona hakitoshi na speed ni kama ya jongoo.
Kuna mtandao mwingine unaotoa kiasi kikubwa zaidi cha data kwa bei hii(2000)?
Au unaotoa kiasi kikubwa na bei ni nafuu kidogo.
Nahitaji kifurushi cha mwezi TU!
Nisaidie mkuu kifurushi changu ndio kinaishia hivyo.