Lithuania yawataka wanaotumia simu za kichina kuzitupa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wizara ya Ulinzi Nchini humo imewaonya Watumiaji wa simu za Kichina kuzitupa na kuepuka kuzinunua. Kauli hiyo inakuja baada ya Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Usalama wa Mtandaoni.

Watafiti walibaini simu moja ya Xiaomi ilikuwa na kifaa cha ndani chenye uwezo wa kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wakati aina nyingine ya simu ya Huawei ilikuwa na kiwango kidogo cha mfumo wa usalama kiasi cha kuweza kuingiliwa kirahisi na wadukuzi.

Ripoti hiyo imetoka wakati mvutano kati ya Lithuania na China ukiongezeka. Mwezi Agosti, China iliamuru Lithuania kumwondoa Balozi wake Beijing.
===

Consumers should throw away their Chinese phones and avoid buying new ones, Lithuania’s Defence Ministry has warned.

A report by its National Cyber Security Centre tested 5G mobiles from Chinese manufacturers.

Researchers identified that one Xiaomi phone had built-in censorship tools while another Huawei model could be vulnerable to cyber-attacks.

Huawei said no user data is sent externally.

Our recommendation is to not buy new Chinese phones, and to get rid of those already purchased as fast as reasonably possible," said Defence Deputy Minister Margiris Abukevicius.

Censorship

Xiaomi’s flagship Mi 10T 5G phone was found to have software that could detect and censor terms including “Free Tibet”, "Long live Taiwan independence" or "democracy movement", the report said.

It highlighted more than 449 terms that could be censored by the Xiaomi phone's system apps, including the default internet browser.

In Europe, this capability had been switched off on these models, but the report argued it could be remotely activated at any time.

Xiaomi has not responded to the BBC's request for comment.

The research also found the Xiaomi device was transferring encrypted phone usage data to a server in Singapore.

"This is important not only to Lithuania but to all countries which use Xiaomi equipment," the Centre said.

The smartphone maker has soared in popularity with affordable models, seeing a 64% rise in revenue in its second quarter compared to a year earlier.

Huawei P40

The report also highlighted a flaw in Huawei’s P40 5G phone, which put users at risk of cyber-security breaches.

“The official Huawei application store AppGallery directs users to third-party e-stores where some of the applications have been assessed by anti-virus programs as malicious or infected with viruses,” a joint statement by the Lithuanian Ministry of Defence and its National Cyber Security Centre said.

A Huawei spokesman told the BBC it abides by the laws and regulations of the countries where it operates, and prioritises cyber-security and privacy.

“Data is never processed outside the Huawei device,” he added.

“AppGallery only collects and processes the data necessary to allow its customers to search, install and manage third-party apps, in the same way as other app stores.”

Huawei also performs security checks to ensure the user only downloads “apps which are safe,” he said.

A further 5G model by OnePlus was also examined by the team, but was found to have no issues.

The report comes as tensions between Lithuania and China are rising.

Last month, China demanded that Lithuania remove its ambassador from Beijing and said it would withdraw its envoy from Vilnius.

The row began when Taiwan announced its missions in Lithuania would be called the Taiwanese Representative Office.

Other Taiwanese embassies in Europe and the United States use the name of the country's capital city, Taipei, to avoid a reference to the island itself, which China claims as its own territory.

Source: BBC
 
Vita za kibiashara na uchumi.... Hawana lolote la maana......
Kuna Giants wapo nyuma ya hili.....
Na hapa Giants wanacho ogopa ni China kuwa "The Hub of Technology"
Wacha warushiane mangumi tu sisi huku tupo tunaupiga mwingi na bibi yetu mwenye jicho lake legevu....
 
Mchina anapigana kiuchumi na US hivi vitakataka vingine vikapigane kiuchumi na afghanistan ndio size yao.
 
Kutoka Kwa binadamu wa kawaida unadukua kitu gani? Labda wale binadamu wenye siri zao ila hawa wa kawaida simu haziifadhi lolote lisilofahamika.
Ni hatari sana kwa nchi, wewe unajifikiria wewe kama wewe ila hawa wanadukua wananchi wote, na sio China tu hata hizo nchi za magharibi zinadukua.

Just imagine China ama Usa sasa hivi anajua kuna mashoga wangapi, wadada wangapi wanaotaka kuongeza makalio, viongozi gani ni wala rushwa, Weakness za matajiri na kila siri zetu kama Taifa, kinachofuatia hapo nini? Kama sio kutawaliwa?
 
Ni hatari sana kwa nchi, wewe unajifikiria wewe kama wewe ila hawa wanadukua wananchi wote, na sio China tu hata hizo nchi za magharibi zinadukua.

Just imagine China ama Usa sasa hivi anajua kuna mashoga wangapi, wadada wangapi wanaotaka kuongeza makalio, viongozi gani ni wala rushwa, Weakness za matajiri na kila siri zetu kama Taifa, kinachofuatia hapo nini? Kama sio kutawaliwa?
Chief , 🤣🤣🤣 kwani Tuna satelite yetu huko angani? Ss tunadukulika tu na nchi zenye nguvu kama wakipendezwa. Hii ni vita ya kibiashara tu, kuchafua brand.
 
Chief , 🤣🤣🤣 kwani Tuna satelite yetu huko angani? Ss tunadukulika tu na nchi zenye nguvu kama wakipendezwa. Hii ni vita ya kibiashara tu, kuchafua brand.
Ni kweli lakini vyengine vinaepukika. Nchi kama nchi inabidi hivi vitu mvipunguze kadri inavyowezekana.

China sector nyeti hawatumii windows ama ikiwa ni windows basi version ya China, Ujerumani wanafund sana open source zitumike serikalini, Urusi nao wana cpu na os zao customized kwa ajili ya sector nyeti, etc.

Vyema kujitegemea angalau hata kwa Level ndogo, maana vyengine ngumu kuviepuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom