Literature review ya majibu ya sehemu zinazompagawisha mwanamke/mwanamke

monaco

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,184
1,761
Mambo vipi WADAU,poleni kwa uchovu wa wkend,
Nimeona niwatumie hiyo PDF File ya kitabu,Unakaribishwa na maoni yako na uzoefu wako pia.....
Nimekuwa nikiona mada mbalimbali zinazohusu sehemu zinazompagawisha mwanamke na mwanamme pia.
Nimeamua kutuma kitabu hiki pia ipo video yake Daktari mmoja na mama mmoja wanaelezea jinsi wanavyofikishwa kileleni....
Hya ni mwawazo yao kulingana na uzoefu wao na Research yao....inaweza kukusaidia.kukukumbusha au kukuelimisha pia ni mambo madogo lakini yana vionjo kwa binadamu regardless umri.
 

Attachments

  • Love Making by kama sutra.pdf
    12.7 MB · Views: 2,563
MMhh changia mawazo yako na findings zako kisha utuletee majibu.....
 
Back
Top Bottom