Literally speaking....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,043
21,517
Hello wakuu,
Habari za jioni? Been long since nlikua hapa kwa mara ya mwisho kwenye jukwaa hili. Lets get to the point....
Ni hivi, unajua mnapokua katika mahusiano mnashare most of things na pia unakua open na huru kuongea chochote na mpenzi wako. Sasa as we all know women ni very sensitive species, hivi kwa mfano inatokea kwamba mpenzi wako anaka-unpleasant & annoying smell flani kwenye (jinsia) yake na kanakukera sana, how do you start telling her about that? Kwa maana first of all ataona kama umemdharau na kum-undermine na vile² unaweza jikuta umezua zogo ambalo baadae linaweza kuleta impact kubwa kwenye r/ship yenu. So how do you tell her? Or you just go straight like,' hey bae, sorry but your pussy smells like a donkey's ass...(am kidding). Kiukweli nashindwa kuelewa scenario kama hiyo ikikukuta mwanaume mwenzangu unafanyaje (I ain't saying my girl's coochie smells, thats why I said literally speaking). This is serious like a matter of national security...
Jioni njema wakuu.
Regards,
Lucchese.
 
Muelekeze namna ya kuondoa harufu au namna ya kujisafisha.

Unajua sometimes inaweza kuwa Ni harufu ya asili au uchafu but all in all kabla ya kukutana inabidi ajioshe deep huko.

Marashi pia muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huo ujasiri ulopata kuja kuandika humu utumie kuongea na mpenzio...

Kama ni mwelewa atachukulia sawaa na mtafute njia ya kutibu tatizo, ila kama sio mwelewa kazi unayo!!!!

We mwambie wakati mkiwa kwenye mazungumzo yenu ya kawaida, tafuta jinsi ya kulichomekea hapo tena kwa upendo kabisaa...
 
"Donkey's ass"..laughed so hard at it lol.
Nadhani ni kua tuu friendly then seeking help for it together..inaeza isiwe hata issue ya hosp..somtimes tuu labda tuu usafi wa kuanzia yeye binafsi mpaka nguo za ndani anazo vaa.
 
Ile smell inakera sana na inapaunguza mzuka swala ni usafi tuu na kujitibu kwa wenya magojwa kama uti. Kumshauri inaitaji UJASIRI
 
Muelekeze namna ya kuondoa harufu au namna ya kujisafisha.

Unajua sometimes inaweza kuwa Ni harufu ya asili au uchafu but all in all kabla ya kukutana inabidi ajioshe deep huko.

Marashi pia muhimu.
Naona ndomana wazenji hua wanajifukizia udi kwenye niaje zao
 
Huo ujasiri ulopata kuja kuandika humu utumie kuongea na mpenzio...

Kama ni mwelewa atachukulia sawaa na mtafute njia ya kutibu tatizo, ila kama sio mwelewa kazi unayo!!!!

We mwambie wakati mkiwa kwenye mazungumzo yenu ya kawaida, tafuta jinsi ya kulichomekea hapo tena kwa upendo kabisaa...
Daaah, yataka moyo walahi
 
Kuwa diplomatic zaidi, muulize kama ameshafanya sexual health screening, jibu utakalopata unaanzia hapo, unaremba umuhimu wake, na vitu vingine.
Hii imekaa poa.

Kujua kuchagua maneno ya kusema na pia wapi kuyasemea ni muhumu haswaa.

Kwenye uhusiano wowote ule.

Ndiyo sifa ya kuwa mwanadiplomasia hiyo.

Hapo uhusiano unanawiri.

Kumwacha mchumba kwasababu tu anaharufu si sawa sana. Hasahasa kama hujamwelekeza kwa lolote.

*cleanvaginamatters
 
Tumia mbinu za KISIASA kumwambia,
Mfano,
Kalunde mpenzi wangu wewe ni mwanamke wa ndoto ya maisha yangu,
Wewe ndiye niliyekuwa nikiomba kila siku kwa mungu anipe mwamamke mwenye sifa nzuri na za kuvutia kama za kwako,
Nakupenda na ninaahidi nitakuwa na wewe kwenye shida na raha,
But,
Hakuna aliye mkamilifu kila mtu anamapungufu yake, na ninamshukuru mungu mapungufu yako wewe ni madogo na yanatibika,
Kunaharufu huwa naisikia ukeni mwakoindi tuwapo faragha, nina nia njema ya kukusaidia, je ulishawahi kupata matibabu ya aina yeyote?

Jifunze siasa mkuu.
 
Back
Top Bottom